misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Eti hujui kama rais ana washauri wengi? Unauzunisha sana.Hivi huyu jiwe amepata ushauri kutoka kwa madaktari au anajiongelea tu?Maana wenzetu daktari anakuwa pembeni anamshauri mambo ya kufanya sasa huyu sijui anapata wapi