Anaomba asemehewe mokopo na haoneshi bidii yoyote ya kupambana au kuondosha coronavirus isipokuwa idea za kilisambaza gonjwa.
Anakuja na strategy za herd immunity ambazo British wameshindwa njiani na ndio walioanzisha ideas hii.
Nchi waliokuwa very successful na vita ya Coronavirus wamesaidiwa na mass testing & tracing, social distance, isolation, na quarantine. (eg,Taiwan, Korea na China).
Halafu anatisha tisha watu kuhusu lockdown wakati yeye mwenyewe kaenda kujificha, Kuna two stage za lockdown.
1: Hard lockdown na 2: soft lockdown
Hio hard lockdown all essential work are still on, eg grocery shop, pharmacy, post office, transportation & logistics etc.
(nchi yenyewe inaamua ipi ni essential ipi not) Asitudanganye halafu akatutishia police tusiongee, kama yeye haangalii hata TV akajua duniani kuna endelea nini watanzania wengi wanaangalia na hawawadanganyiki tena