Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Aisee kweli hii ni awamu ya tano
Bora mheshimiwa rais Magufuli anaendesha nchi akiwa Ikulu ya Chato, still Chato is in TZ kuna rais wa Congo alikuwa anaendesha nchi akiwa Paris na wananchi walikuwa hwapigi kelele za kijinga kama nyinyi,ukiwa rais unaweza endesha nchi hata ukiwa Guest House au Lodge mradi mambo yaende Tu.
 
Wengi wako wapi mbona anaongea siasa badala ya fact
Tatizo ujamuelewa na uwezi kumuelewa kwa kupenda kubadilisha maneno tofauti na kile anachoongea.

Kwa kukumbusha tu aliyefanya replacement na kuwa katibu mpya wa wizara ya afya kabla alikuwa mshauri wa rais kwa masuala ya afya.

Na pia leo yeye alikuwa anapokea brief kutoka kwa viongozi wa ulinzi na usalama juu ya jinsia watavyoshughulikia hili janga kama amiri jeshi mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,ndio maana pale kulikuwa mkuu wa majeshi, IGP, mkurugenzi wa usalama wa Taifa, kamishna wa uhamiaji.
 
Screenshot_20200422-223359-1.jpg
Screenshot_20200422-223359-1.jpg
 
Hivi huyu jiwe amepata ushauri kutoka kwa madaktari au anajiongelea tu?Maana wenzetu daktari anakuwa pembeni anamshauri mambo ya kufanya sasa huyu sijui anapata wapi

Kama hiyo ya kujifukiza


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yaani kiongozi mkuu wa Nchi Kuja kwa raia kutoa ushuhuda was Jambo ambalo liko chini ya uwezo wake nikuonesha kiasi gani hana mawasiliano mazuri na wataalam wake. Chukulia mfano hizo kemikali zingekuwa na madharaa kwa binadam nani alipswa kuwajibika??, Ilihali haya yanafanyika chini ya kijana wake mpendwa. Tuache kusifu mambo yakipuuzi
Hivi unaumiza kichwa chako Kwa huyo kenge
Hawez kufikir kila Kitu yeye anaunga mkono
Hata wakat wanapuliza hizo dawa aliunga mkono we check ule uzi unao zungumzia hiyo fumigation

Ana akili Kama za kuku

Sent by IPhone
 
Kuzipata data kamili ni kujidanganya tu kama population yetu tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hivi huyu jiwe amepata ushauri kutoka kwa madaktari au anajiongelea tu?Maana wenzetu daktari anakuwa pembeni anamshauri mambo ya kufanya sasa huyu sijui anapata wapi
acha tu jamaa madoctor wasije kuzira bure mambo yakawa magumu zaidi..huyu mtu huyu mungu anamuona.
 
Anaomba asemehewe mokopo na haoneshi bidii yoyote ya kupambana au kuondosha coronavirus isipokuwa idea za kilisambaza gonjwa.

Anakuja na strategy za herd immunity ambazo British wameshindwa njiani na ndio walioanzisha ideas hii.

Nchi waliokuwa very successful na vita ya Coronavirus wamesaidiwa na mass testing & tracing, social distance, isolation, na quarantine. (eg,Taiwan, Korea na China).

Halafu anatisha tisha watu kuhusu lockdown wakati yeye mwenyewe kaenda kujificha, Kuna two stage za lockdown.

1: Hard lockdown na 2: soft lockdown
Hio hard lockdown all essential work are still on, eg grocery shop, pharmacy, post office, transportation & logistics etc.

(nchi yenyewe inaamua ipi ni essential ipi not) Asitudanganye halafu akatutishia police tusiongee, kama yeye haangalii hata TV akajua duniani kuna endelea nini watanzania wengi wanaangalia na hawawadanganyiki tena
 
Titicomb,
Wala husemi Kama watakaokuwa locked down watapewa ruzuku au vipi, je, serikali inao uwezo wa kuwalisha waendesha bodaboda ambao watakuwa locked down, je, kufa kwa njaa na kufa kwa CORONA nini bora
 
Ulishawahi kujiuliza hao unaosema walijifungia walijifungia wakati gani?! Nchi imeshaathirika, ugonjwa umeshaingia mtaani, unadhani hata mkijifungia watu watakosa kufa wakati walishaathirika hata kabla ya hizo lockdown!!

Halafu acha kuongea mambo usiyoyajua... both Rwanda na Uganda HAKUNA hata mmoja aliyekufa kwa corona!!
Tangu December 2019 China Kulikuwa na ugonjwa na wachina na watanzania walikuwa wanakwenda na kurudi China kwa shuguli mbalimbali hadi hapo March 2020 hali ilipokuwa mbaya huko China. Hivi kwaakili yako hiyo unadhani Kama tungejifungia ndani pale March 2020 hali yetu ingekuwa tofauti? Maambukizi tayari yalishakuweko ndani.
 
Rais Mungu akuzidishie baraka na ulinzi!.
Fanya kwa wakati wako usikubali mtu akufanyie!
Tumia fursa uliyonayo maana kesho hatuijui!
Pambana bila kuangalia ugumu unaokutana nao ili ukiondoka moyo wako uwe mweupe.
God be with u Rais Magufuli
 
Usimbeze RAIS wewe acha ujinga,huyo ndo RAIS wa nchi unadhani hapelekewi taarifa na wauguzi?unahisi anaongea tu kama wewe unavyo ongea hapa
Hivi huyu jiwe amepata ushauri kutoka kwa madaktari au anajiongelea tu?Maana wenzetu daktari anakuwa pembeni anamshauri mambo ya kufanya sasa huyu sijui anapata wapi

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Back
Top Bottom