Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Sayansi ipi kwenye CORONA? Sayansi ambayo haikufaa Marekani, Spain, UK, Italy, France, German, Canada ingevaa nini Tanzania?
Endeleeni tu kujitoa akili!!!

TUtarudia tena na tena! Hizo nchi ulizotaja zote zilianza kwa mizaha kama mizaha inayofanywa na Magufuli!!

Kila mmoja anakumbuka porojo za Trump, mara aite Chinavirus, mara aite Wuhan virus, siku anahojiwa kuhusu uwezo wa US kukabili janga, Trump akajibu kwa mbwembwe wana professionals wa kutosha!!

Na hili la kuwa na professionals akawakejeli hadi Iran kwamba wakitaka msaada wa US, watawasaidia, kama ambavyo Tanzania tulivyowahi kuwaambia China tunaweza kuwapelekea madaktari wetu!!

Trump kaendelea na mizaha yake, hadi anakuja kushituka, kirusi kimeenea kila mahali! Na coronavirus akishaingia tu mtaani, kudhibiti kwake sio jambo dogo!!

Kuhusu Spain, Google mwenyewe jina la Dr. Fernando Simon uone alisema nini wakati Italy inateketea!! In short, hakudhani kabisa kwamba coronavirus ingeingia Spain, na ndio maana kama ulifuatilia, La Liga ilichelewa sana kusimamishwa!

Wakati Italy inateketea, ndo kwanza Wahispania wakawa wanaendelea kujazana kwenye viwanja vya soka, kuja kushituka.... TOO LATE!

Iran wenyewe wakati Uchina mambo si mambo, ndo kwanza wakatangaza kwamba wao hawatafunga mpaka kwa sababu nchi yao inalindwa na Mungu! Na wenyewe hadi wanakuja kushituka, ilishakuwa too late!

Mifano ipo mingi, itoshe tu kusema kote huko walichelewa kuchukua hatua!!

Kinyume na wenzetu, nchi kama Tanzania international flights ni chache, kwahiyo tulikuwa na uwezo wa kujifunza kutokana na kile kilichokuwa kinaendelea kwingine kwa sababu tulichelewa kupata maambukizi!!

Lakini wakati watu tunashauri international flights zipigwe ban ndo kwanza wenye mamlaka wakatangaza hawawezi kufanya hivyo kwa sababu itaathiri utalii!!

Matokoe yake, na sisi tukaendelea kufanya mizaha ile ile ingawaje tulikuwa na pa kujifunza!! Mizaha ikazidi, kirusi kimeshaenea hadi mtaani, na bado tunaambiwa tunaweza kuua coronavirus kwa kujifukisha mvuke!
 
Kwangu ni kinyume chake, rais kazungumza kama mtabiri Na sio kiongozi.In short katuangusha watanzania.
 
Nyie endeleeni kumpotosha rais wetu, aendelee kujichoresha mbele ya media kama kinyago cha mpapure, ugonjwa ndio umeingia hivyoo...badala ya kuchukua measures ..you do nothing!?..worse mnawapa over confidence watu wapuuze wasione kama corona ni daily concern...nani aliwaambia moto unazimwa kwa moto?...

eti vifo ni vichache ... helooooooo!! Mtanzania hata kama ni mmoja amekufa bado hili ni tatizo LETU WOTE ,everyone has got right to live...ukipewa wewe mmoja choice ufe utakubali?? mbona mnaona sahih wenzenu kufa kwa vile tu ni wachache?
 
Tumesikia kwenye vyombo vya habari maeneo fulani, hata hizi mask zimetolewa kwenye nchi fulani wamezikuta na corona. Vyombo vya ulinzi na usalama waanze kushughulikia vitu vya msaada visije leta madhara. Ukiletewa mask lazima ujue imetoka wapi.

Vipi jengo la kuifadhia vifaa vya kutibu korona Temeke limeungua juzi juzi tu hapo. Nahisi Kuna Jambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Magufuli ni genius basi mimi ni Isaack Newton. Sioni namna yeyote mtu anaweza kutunga sentensi hiyo hiyo moja inayomtaja jiwe na neno "genius" na ikawa realistic. Hata kukiwa na neno SIO bado itakuwa ni overstatement ya karne.
Wivu tu unakusumbua...Mataifa yamlilia aende kutawala huko...Ebu unataka kuniambia kuna mtawala ambae amefanya brilliant decision kama Mh.Rais? Angekua USA apo ungemuona kwenye books of records.
 
Raisi ambae hajui hata kama attack za Corona zipo classified as mild, moderate and severe; na tofauti zake.

Raisi ambae hajui how partial lockdown works sijui katoa wapi mawazo ya kwamba main trade zinafungwa kabisa in partial lockdown.

Raisi ambae hajui hata umuhimu wa sterilisation kwenye public services

Si ajabu yupo kwenye vikundi vya what’s up hivi vya mitaani kwa kutumia jina bandia that’s the only logical explanation kwa ushauri aliotoa leo maana ndio mambo wanayoambiana kwa asilimia kubwa.
 
Na waliopuliziwa nao wapuuzi duh, JPM katisha kwa kweli...Watanzania tupambane kivyetu.
 
Nimemsikia Ndugulile, Naibu Afya, akisema hiyo kujivukiza sio salama. Inaweza kuleta shida kwenye mfumo wa hewa. Anasema sehemu hizo za mwili haziwezi kuhimili joto kali hivyo!
Watu wanajifukizia tangu zamani
 
👆Hiyo korona ikiwa kwenye koo inafanya hivyo (matonsel) unaona yamekaa kama mafuta, hivyo ndiyo virus vya korona. Kwa hiyo mtu yoyote atakae jisikia tu anaumwa madonda, koo linawasha, awahi maji ya moto na chumvi, anachemsha anasukutuwa kila wakati. Ukiwahi kusukutua maji ya moto na chumvi vinakufa vyote, vimekaa kama mafuta vikipata maji ya moto vinakufa.

Ukiwahi kabla havijafika kuingia ndani ya mapafu unapona, ukichelewa kufanya maji na chumvi vikifika ndani ya mwili vikishuka kooni basi ujue vinakua na nguvu sana, vinakimbilia kushambulia mapafu, ndiyo unaona pumzi inakatika na kupelekea hatari ya kifo😭 Na ukiona mafua unatoa chafya chukua maji kama unatawadha udhu, unavuta pua moja baada ya moja maji, halafu unayatoa nje vina toka virusi.

Huwa vinaanza kukaa puani na kwenye koo mda wa siku 14 vinazaana vikisha kuwa vingi tu ndiyo vinashuka kwenye mapafu.

Tafadhali ukipata ujumbe huu watumie na wengine. Allah atuhifadhi yarab. Gonjwa hili ni hatari sanaa😭 Mungu atunusuru

..............................................................................
☝Habari za what’s up ndio ushauri wake kabadilisha tu kuweka kisayansi zaidi
 
Chemsheni maji mpaka 100CC alafu jifukuzie ..virus anakufa apo apo. Kuna mjinga eti huo mvuke ukiwa wa moto sana inaweza kuchoma au kuaffect njia na mfumo wa hewa..Hii si kweli maana mfumo wa hewa ni ngumu nani plastiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…