The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Comrade hakuna ubaya.Kwani kuna ubaya gani akiongelea sebuleni kwake?
Saa za kibongo kibongo. Saa 10:11 sasa hivi,hola.Huko Tanzania saa 09:45 bado haijafika tu.?
Ngoja uone sasa hali ni tete lazima mpigwe ndani wiki mbili na mzee atakataka kuinyesha dunia anaweza mtapigwa virungu nyie mtakaa ndani bila kupendaMishahara nayo itakata...
Hiyo ngumu kutumia
unajua maana ya ikulu ww? au umekariri tu....
Tayari bwashee!Saa za kibongo kibongo. Saa 10:11 sasa hivi,hola.
😀 😀 😀 😀tena sebuleni kwake.
makabati,makochi na vyombo vimefichwa chumbani.
Mnaotizama, tupeni updates plzTayari Rais Magufuli yuko mubashara TBC
mitambo imekata ghafla masufuria yalianguka.
chapeni kazi.Anasemaje huyo kiongozi wenu
mitambo imekata ghafla masufuria yalianguka.
Kuna mtu mmoja aliwahi kuishi "Mobutu" alipojaribu kuifanya Gbadolite kuwa kila kitu ndani ya Zaire. Alilaaniwa na wengi wakiwemo WaTz wakati huo. Natamani afufuke awaumbue WaTz .Acha kukariri bwashee....... mambo hubadilika duniani kote!
Shangaa....Tunaingiliana vitu personal sasaThe problem with you guys is that; you're too pessimists. Kwa hiyo chato siyo Tanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo haja sema ni kicorona, tusi tishane, leo ana sema ni ugonjwa mbaya sanaAnasemaje.?