The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Waafrika hususani sisi wa-Tanzania hatujawahi kuheshimu na kujali muda kabisa, si viongozi (hata kama ni Rais) wala raia...
Sasa tangazo linasema saa 9:45 alasiri, lakini mpaka sasa saa 10:10jioni hii, hakuna lolote linaloendelea ktk platforms zote kama TV, social media, YouTube nk ambako mtu anaweza kuifuatilia hotuba hiyo....
Au "LIVE" maana yake nini jamani?