Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Ujinga ndo Alama ya watanzania wengi,Bora mheshimiwa rais Magufuli anaendesha nchi akiwa Ikulu ya Chato, still Chato is in TZ kuna rais wa Congo alikuwa anaendesha nchi akiwa Paris na wananchi walikuwa hwapigi kelele za kijinga kama nyinyi,ukiwa rais unaweza endesha nchi hata ukiwa Guest House au Lodge mradi mambo yaende Tu.
Labda somaliaWivu tu unakusumbua...Mataifa yamlilia aende kutawala huko...Ebu unataka kuniambia kuna mtawala ambae amefanya brilliant decision kama Mh.Rais? Angekua USA apo ungemuona kwenye books of records.
Kitu wanashindwa kuelewa watu ni kua daktari yoyote lazima aponde tiba asili mbele ya media sababu hazina utibitisho wa kisayansi wa kutibu japo anaweza akawa yeye mwenyewe anajifukiza ila ukiwa mbeke ya media huruhusiwi kusema hivo..kama serikali na uchawiWatu wanajifukizia tangu zamani
Majaliwa ni kiongozi asiye jiamini kabisa. Nadhani ni PM dhaifu kuliko wote waliopita.Mimi ningekuwa ni Waziri Mkuu
Ningeshaandaa barua ya kujiuzulu
exactlyNi kwamba kawashushia tuhuma nzito!
Wakimtaka atoe uthibitisho italeta simanzi!!
Hivi si ni huyu huyu amekuwa akitamba kuwa nchi yake ni donor country na inaweza kuzikopesha hata nchi nyingine?Ama kweli kukopa sherehe, kulipa matanga.
Kwani tulishikiwa fimbo kukopa?
Mimi naona tunalalama sana. Huwezi ukampangia mtu anaekudai kiwa akusamehe. Wewe ulivyokua unakopa ulikua umewehuka au?
Dawa ya deni ni kulipa tu.
Kwa sabau zipi mkuu, mbona hukueleza?Mimi ningekuwa ni Waziri Mkuu
Ningeshaandaa barua ya kujiuzulu
Duh aisee!Majaliwa ni kiongozi asiye jiamini kabisa. Nadhani ni PM dhaifu kuliko wote waliopita.
Nilianza kuona udhaifu wake tokea wakati wa Korosho baada ya maamuzi yake ya maana kukataliwa kwa aibu hadharani na kisha zao kufa huku anashuhudia kisa kuogopa shangazi zake kupata kipigo.
Tokea Nyerere hadi JK hakuna aliyewahi kumjibu kwa dharau PM hadharani Ila sasa tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimsingi sikatai hata moja katika hayo uliyoandika kwenye bandiko lako, kasoro tu labda hilo neno ulilotumia "wanasiasa." Mimi sioni mwanasiasa hapo anayeyasema hayo uliyoorodhesha. Nakushauri utafute jina jingine linalolingana na tabia ya hawa unaowazungumzia hapa.Pay attention to details
Hapana. Mimi hupenda kuyafanya hivyo ninapohusisha Tanzania na waTanzania wenyewe. Sifanyi hivyo kwa kutojua ninachofanya.Rekebisha kwanza haya maneno:
waTanzania = Watanzania
MTanzania = Mtanzania
Wewe unazidi kupingana na ushauri(?) (maelekezo) aliyotoa rais.Duh...!, japo naunga mkono hoja, ila washauri Watanzania kwa kuwaambia ukweli kwenye scenario kama hiyo, wanamkaaje and waandae kwa the consequences za kumkataa ni nini kitawakuta!
P
Wewe ni mpumbavu kabisa na nimekudharau,kwani hao uliowataja ndio nini?aliyekwambia kuwa lazima awaige hao ni nani?Ngonja nikujibu upya. Sikujua kama ni wewe Fundi Mchundo. Yes Olny in Tanzania. Umeona Giuseppe kakimbia Ikulu kuu?Macron kakimbia ikulu ?Trump kakimbilia Florida ?Mseven kakimbia Kampala ?Uhuru je ?Huyu Rais wa kutuambia tujifukizie mfuke wa above 100'C?Tule vitunguu.
Again kakimbia Ikulu kuu kaenda kijijini sababu ya Coronavirus. π₯π₯π₯