sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Aise sikumuelewa huyu Rais wetu.Kweli hasa pale alipo sema na waliopo karantine waachiwe warudi kitaa kufanya kazi .
Idiot
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aise sikumuelewa huyu Rais wetu.Kweli hasa pale alipo sema na waliopo karantine waachiwe warudi kitaa kufanya kazi .
Idiot
Moja ya masharti ilikuwa 'devaluation'', kusimamisha ajira (hiring freeze), Gov. restructuring etc.
Hakuna namna ila kukubaliana nao kama walivyokubali masharti ya watoto wa kike. Hao ndio wenye dunia
Hili la ' no lock-down kwaa Dar na Tanzania ' halihitaji nguvu wala misuli, litakuja lenyewe tu bila kupenda
Spain na Italy walikuwa wakaidi yakawakuta. Borison wa UK alikuwa kaidi yakamkuta hadi aliporudia ICU
Kwa Tanzania hakuhitajiki Tangazo, lockdown itatokea naturally, subirini tu ni suala la wakati.
Kitu kimoja cha kukumbuka, hili ni balaa asitokee mtu akakudanganya, Ni balaa kubwa sana
Mkuiu, tuwe waelewa kidogo.
Kwanza, raisi Magufuli ni raia namba moja na amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Tanzania.
Kutokana na hivyo basi, afya yake katika kipindi hiki kigumu ni lazima iiangaliwe na kupewa uzito wake kama ambavyo viongozi mbalimbali kama Donald Trump na Boris Jonnson na wengine ambao wameangaliwa afya zao na sasa wanaendelea na shughuli.
Waziri mkuu wa UK Boris Johnson aliwekwa ICU na akatoka ndani ya siku saba tu ni hiyo ni kwasababu huyu ni mtu muhimu anaendesha serikali.
Raisi Magufuli yaonekana iliamuliwa apumzike kwa sababu ambazo serikali inazo za kiusalama zaidi.
Pili Raisi amesema wazi kwamba Dar hakuna lockdown kutokana na kwamba ni mji wa kibiashara.
Hiyo ni soft lockdown kwasababu sehemu zingine kama mashule, madrasa na chekechea kumefungwa na sehemu zingine mambo yanaendelea kama kawaida.
Pia ni soft lockdown kwasababu njia ya usafiri wa anga ni ndege za mizogo tu ndizo zinaruhusiwa kuruka na kutua lakini si abiria.
Mwisho, Tanzania haiwezi kuiga hizo lockdown za nchi zilizoendelea hatujafika huko, ila tunafuata miongozo yote ya WHO kama nchi mwanachama.

Mkuu mimi sio wa kuongopewa,usifananize viongozi na vitu vya kijinga, video hapo juu Boris Johnson one week kabla hajapta coronavirus, yeye hakuenda kujificha chato, alikuepo Town na watu wake,
Pili Boris Johnson alikuepo isolation for 10 days, hospital one week na hivi sasa yupo one month off for recovery.
Tatu Trump bado yupo White House anapambana hajapenda Trump Tower kujichimbia kama jamaa alivyokimbia magogoni.
Nne hakuna hata advise moja ya WHO inayofatwa, si social distancing, isolation, lockdown, tracing etc.
Tano unasema hatujafikia stage ya total lockdown, so what the point kama kila mtu amesha kuwa infected na wengi wameshakufa ndio muende lockdown, juzi Makonda alikuwa anauliza yupi kafa kwa corona?
Leo aulize tena!
[emoji23][emoji4][emoji3][emoji3]Apa naona wapinzani kupigwa asubuhi na mapema uchaguzi wa Oktoba. Ila JPM the guy is genius... sema kumuelewa wachache ndiyo bado.
Kujiuzulu ni sahihi, siyo KUJIUDHURU. Nakusaidia kabla Faiza Foxy hajaona.Mimi ningekuwa ni Waziri Mkuu
Ningeshaandaa barua ya kujiudhuru
AsanteKujiuzulu ni sahihi, siyo KUJIUDHURU. Nakusaidia kabla Faiza Foxy hajaona.
Duh...!, japo naunga mkono hoja, ila washauri Watanzania kwa kuwaambia ukweli kwenye scenario kama hiyo, wanamkaaje and waandae kwa the consequences za kumkataa ni nini kitawakuta!Na akitokea kiongozi anayetaka kupora haki yetu hiyo kwa kutumia mabavu ya vyombo tulivyomkabidhi ili nchi yetu iwe salama, lakini yeye anavigeuza viwe ndio kinga yake na kuvitumia kutunyanyasa, inabidi pia tuachane na hofu na kukabiliana naye na kumkataa.
Hivi nyinyi watu mnazo akili?Ila amewafikishia mabeberu ujumbe murua kabisa bila kupepesa macho.. ni bora wapunguze riba kama sio kuwasamehe madeni yanayoelemea nchi za ki Afrika kuliko kuendelea kuwakopesha kwa riba kubwa wakati uwezo wao wa kupambana na majanga makubwa ni mdogo sana, huo ndio ukweli na msaada wa kweli lakini biashara za kukopeshwa na riba juu Ndio wazungu wamegeuza kama ni misaada wanatupa kumbe ni mikopo.