kwani unatamani nini kitokee jamaa yangu!!!Nyie ropokeni tu ila muda utaongea...mficha maradhi kifo humuumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtalia sana mpaka machozi yenu yawe mawe tehKuna mtu amejikuta ni rais!
Mpaka leo bado haamini.
Na hilo la vipimo tushasema hapa! Couple of Days ago Wafuasi wa Jiwe niliwapa takwimu za watu waliochukuliwa sampuli Kenya, Uganda na Rwanda na nikawapa changamoto wataje Tanzania ni wangapi... hadi leo hawajataja ingawaje binafsi nilikuwa nafahamu by the time, Tz tulikuwa tumepima less than 400 people wakati Rwanda na Uganda walishapima zaidi ya watu 2000 kila mmoja, huku Kenya wakiwa wamepima zaidi ya 1500.Na hiyo idadi yetu ni ndogo kwa vile hatuchukui vipimo. Tungekuwa tunaendesha vipimo hali ingekuwa ya kutisha zaidi.
Wanao mtetea Jiwe sio kwa sababu za kisayansi Bali ushabiki wa kisiasa tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa zile pesa anazotumia kujenga ikulu ya Dodoma zimemkosea nini? Au anaamini Tanzania itakuja kupata rais asiye na kwake Wala kwao,asiyejua hotel wala guest zilipo? Maana kwa mtazamo wako na wake ni kuwa walioamua kuwe na ikula na ofisi ya rais somewhere ni wajinga kwa kuwa ofisi ya rais inatakiwa kuwa mobileBora mheshimiwa rais Magufuli anaendesha nchi akiwa Ikulu ya Chato, still Chato is in TZ kuna rais wa Congo alikuwa anaendesha nchi akiwa Paris na wananchi walikuwa hwapigi kelele za kijinga kama nyinyi,ukiwa rais unaweza endesha nchi hata ukiwa Guest House au Lodge mradi mambo yaende Tu.
Ww ni nani!? acha kihere here....Mfano jiwe hajaonyesha madeni anayotaka kufutiwa ,hizo hela atutumiaje kupambana na Covid 19,sioni matumizi ya serikali ya Tanzania kupambana corona,anataka afutiwe madeni ili akajenge reli,wewe subiri baada ya mwezi Tanzania mtakiona cha moto,mungu hapendi uzembe
Sent using Jamii Forums mobile app