Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Nivute kiti niketi ili kusubiri Michango ya WADAU wenye utaalam wa haya mambo
 
Screenshot_20200422-233932-1.jpg
 
Na hiyo idadi yetu ni ndogo kwa vile hatuchukui vipimo. Tungekuwa tunaendesha vipimo hali ingekuwa ya kutisha zaidi.
Wanao mtetea Jiwe sio kwa sababu za kisayansi Bali ushabiki wa kisiasa tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hilo la vipimo tushasema hapa! Couple of Days ago Wafuasi wa Jiwe niliwapa takwimu za watu waliochukuliwa sampuli Kenya, Uganda na Rwanda na nikawapa changamoto wataje Tanzania ni wangapi... hadi leo hawajataja ingawaje binafsi nilikuwa nafahamu by the time, Tz tulikuwa tumepima less than 400 people wakati Rwanda na Uganda walishapima zaidi ya watu 2000 kila mmoja, huku Kenya wakiwa wamepima zaidi ya 1500.
 
mlakimtoto, Mfano jiwe hajaonyesha madeni anayotaka kufutiwa ,hizo hela atutumiaje kupambana na Covid 19,sioni matumizi ya serikali ya Tanzania kupambana corona,anataka afutiwe madeni ili akajenge reli,wewe subiri baada ya mwezi Tanzania mtakiona cha moto,mungu hapendi uzembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora mheshimiwa rais Magufuli anaendesha nchi akiwa Ikulu ya Chato, still Chato is in TZ kuna rais wa Congo alikuwa anaendesha nchi akiwa Paris na wananchi walikuwa hwapigi kelele za kijinga kama nyinyi,ukiwa rais unaweza endesha nchi hata ukiwa Guest House au Lodge mradi mambo yaende Tu.
Sasa zile pesa anazotumia kujenga ikulu ya Dodoma zimemkosea nini? Au anaamini Tanzania itakuja kupata rais asiye na kwake Wala kwao,asiyejua hotel wala guest zilipo? Maana kwa mtazamo wako na wake ni kuwa walioamua kuwe na ikula na ofisi ya rais somewhere ni wajinga kwa kuwa ofisi ya rais inatakiwa kuwa mobile
 
Mkuu usiogope mambo yatakua hadharani siku moja ..

Hii nchi magumashi mengi nchi ambayo hata data za Malaria wanaficha unategemea nini? Kwenye ripoti za wiki na mwezi za Malaria ikitokea umepata wagonjwa 30 tu wa malaria na ukaripoti vilevile ni msala watakuandama sana ila ukiripoti chini ya kumi basi ni shwari inatulazimu kupika takwimu ili twende nao sawa Shenziii kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano jiwe hajaonyesha madeni anayotaka kufutiwa ,hizo hela atutumiaje kupambana na Covid 19,sioni matumizi ya serikali ya Tanzania kupambana corona,anataka afutiwe madeni ili akajenge reli,wewe subiri baada ya mwezi Tanzania mtakiona cha moto,mungu hapendi uzembe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ni nani!? acha kihere here....
na roho yako ya kichawi...
 
Back
Top Bottom