Yaani si wanchi tu hata gvt inakusanya na kutumiaNgoja uone sasa hali ni tete lazima mpigwe ndani wiki mbili na mzee atakataka kuinyesha dunia anaweza mtapigwa virungu nyie mtakaa ndani bila kupenda
Kana kwamba Chato siyo Tanzania!
Mafundi mitambo wa tbc wale cream yenyewe watakuwa Quarantaine. Maana mitambo haipo sawa. Matangazo yamekatika ghafla.Tayari bwashee!
Mafundi mitambo wabobezi watakuwa Mlonganzila. Sasa hawa waliopo mitambo inawashinda.
Kabisa pengo linaonekana.Yule mkuu wao si alifariki, naona pengo lake liko wazi.
Kuna shida akihutubia toka chato? Kavunja sheria ganKuna mtu mmoja aliwahi kuishi "Mobutu" alipojaribu kuifanya Gbadolite kuwa kila kitu ndani ya Zaire. Alilaaniwa na wengi wakiwemo WaTz wakati huo. Natamani afufuke awaumbue WaTz .
Odhis *
Chief mitambo aliaga dunia. Ni ngumu kuziba pengo.TBC mnafeli wapi?
Inawezekana hawakuwa na cha kuongea wakiwa huko makwao. Na kwa bahati mbaya hawakuwa na utamaduni wa kwenda kwao...Chato ni kijijini kwa Magufuli.
..JK hakuwa kuzungumza toka Msoga.
..Mkapa hakuzungumza toka Lupaso.
..Mwinyi hakuzungumza toka Zanzibar au Mkuranga.
..Mwalimu Nyerere hakuwahi kuzungumza toka Butiama.
..Raisi anapaswa kuendesha shughuli zake toka IKULU, na siyo toka ktk nyumba yake binafsi. Serikali siyo KAMPUNI binafsi ya Raisi.
Rais wa nchi anaongea na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama sio wana habari, akili nyingine bwana.Sasa kwanini polisi wamezuia press conference ya chadema lakini hawazuii hii
Kama kawaida TBC1 matangazo yanakatikakatika hawaeleweki.
Kwani siku 14 hazijaisha tu?!Mafundi mitambo wa tbc wale cream yenyewe watakuwa Quarantaine. Maana mitambo haipo sawa. Matangazo yamekatika ghafla.
Unadhani itaongozwa kutoka mliganzila.?Yaani vita dhidi ya coronavirus itaongozwa toka Chato, Mkoani Geita Tanzania !