Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Kwani saa tisa na dakika arobaini na tano bado haijafika ? Au ndo Chato ina majira ya saa tofauti na huku kwingine.
 
Mafundi mitambo wa tbc wale cream yenyewe watakuwa Quarantaine. Maana mitambo haipo sawa. Matangazo yamekatika ghafla.
Yule mkuu wao si alifariki, naona pengo lake liko wazi.
 
Kuna mtu mmoja aliwahi kuishi "Mobutu" alipojaribu kuifanya Gbadolite kuwa kila kitu ndani ya Zaire. Alilaaniwa na wengi wakiwemo WaTz wakati huo. Natamani afufuke awaumbue WaTz .



Odhis *
Kuna shida akihutubia toka chato? Kavunja sheria gan
 
..Chato ni kijijini kwa Magufuli.

..JK hakuwa kuzungumza toka Msoga.

..Mkapa hakuzungumza toka Lupaso.

..Mwinyi hakuzungumza toka Zanzibar au Mkuranga.

..Mwalimu Nyerere hakuwahi kuzungumza toka Butiama.

..Raisi anapaswa kuendesha shughuli zake toka IKULU, na siyo toka ktk nyumba yake binafsi. Serikali siyo KAMPUNI binafsi ya Raisi.
Inawezekana hawakuwa na cha kuongea wakiwa huko makwao. Na kwa bahati mbaya hawakuwa na utamaduni wa kwenda kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom