mzee wa "Amfifiro" 🤣🤣🤣Kweli mkuu watu wasiwe na hofu si unaona Uganda eti nao waliweka lockdown sasa angalia madhara makubwa waliyo pata
Cases 58 ,Deaths 0 na recovered 38 ...Wamepigwa ...alisema Think Tanker Gwajima
WEWE NI MWELEWA! Definitely elders and those with diseases are compromized in one way or another! They are vulnerable to Darwin's theory of evolution!Mkuu nimefuatilia kwa karibu sana na taarifa ya wataalamu wa afya.
Nikichukulia jimbo la New York Marekani idadi ya vifo vingi vilitokea kwa watu weusi kuliko wazungu walio wengi.Sababu ilikuwa weusi wa huko wengi walikuwa wanasumbuliwa na magonjwa yanayofanana na magonjwa sugu yaliyopo nchini kwetu tena kwa wingi.
Kwa Darwin's Theory, Weakest kiafya kwa case ya Corona ipo wazi.Maadamu tumekosa maarifa imebakia kumuomba Mungu.
Huyu jamaa alishasema,alisukumiziwa ikulu,nadhani tunamlazimisha kuendelea kuwa rais wetu.he is very irresiponsible leaderRaisi kajiweka pembeni as if ni mtazamaji amegeuka auditor wakati serikali ni yake
Sasa kwani kikwete ni magu?Tupe hotuba moja tu aliyowahi kuhitubia Taifa akiwa Msoga. Au unadhani mikutano ya kampeni ndo kulihutubia Taifa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole eeh!Acha ulongo wako
Kwakuw alitaka kumfaham tu, hakuna shida.Rais ameagiza jeshi kufanya uchunguzi ni nani aliyeruhusu kupuliza dawa ya kuua corona jijini Dar na kwenye mabasi.
Mhusika mwenyewe, huyu hapa.
View attachment 1427855
Mimi ninaomba kuuliza tumaposema tunapaswa kujifungia ndani hivi mnajua kuwa kuna ofisi nyingine ni lazima mtu aende ofisini? Na hata hiyo kauli ya kujifungia ndani haijatolewa rasmi kwa wafanyakazi wengine si kwa maandishi wala waraka….. unaanzia wapi kujifungia ndani?Hata ikitokea hivyo hutapaswa kumlaumu kiongozi yeyote, kwani ulikuwa na uwezo wa kujifungia ndani wewe na familia yako msitoke nje kabisa. Nini kinakufanya usubiri mtu akumbie ujifungie ndani? Halafu unasema una akili.
(Ikulu Chato). Only in Tanzania.