Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Chige,
Magufuli hakujua impact ya Covid-19 .au labda aliuona kama mafua tu ya kawaida.
Sasa kushtuka amejikuta hakujiandaa kupambana na Covid-19.

Kibaya zaidi hakutenga pesa za kutosha ,serikali yake inategemea misaada ya wasamalia wema anaowabeza kwa ku supply masks zenye Corona, na fumigation isioua Corona virus.

Watanzania tunaweza kuwa na ujinga lakini sio mapumbavu ki vile.Ni nyakati ngumu lakini we shall overcome.
 
Kweli mkuu watu wasiwe na hofu si unaona Uganda eti nao waliweka lockdown sasa angalia madhara makubwa waliyo pata
Cases 58 ,Deaths 0 na recovered 38 ...Wamepigwa ...alisema Think Tanker Gwajima
mzee wa "Amfifiro" 🤣🤣🤣
 
Corona + HIV = Wazee wa Ghana lazma waje kudensi like a snake na jeneza lako
 
Chato haiwezi kuwa tajiri au watu wake kuwa na Akili kwa sababu anaongea kutoka huko Chato. wee! subiri kijiji kita chakaa hicho mpaka walie pooo! mji unajijenga wenyewe siyo kubebwa!
 
Mkuu nimefuatilia kwa karibu sana na taarifa ya wataalamu wa afya.
Nikichukulia jimbo la New York Marekani idadi ya vifo vingi vilitokea kwa watu weusi kuliko wazungu walio wengi.Sababu ilikuwa weusi wa huko wengi walikuwa wanasumbuliwa na magonjwa yanayofanana na magonjwa sugu yaliyopo nchini kwetu tena kwa wingi.
Kwa Darwin's Theory, Weakest kiafya kwa case ya Corona ipo wazi.Maadamu tumekosa maarifa imebakia kumuomba Mungu.
WEWE NI MWELEWA! Definitely elders and those with diseases are compromized in one way or another! They are vulnerable to Darwin's theory of evolution!
 
Rais ameagiza jeshi kufanya uchunguzi ni nani aliyeruhusu kupuliza dawa ya kuua corona jijini Dar na kwenye mabasi.

Mhusika mwenyewe, huyu hapa.
 
Kwa hiyo ninachokiona hapa ni Crisis Management kubwa kabisa
Sasa nausubiri ule wimbo wa utotoni

"Watoto wanguee mimi mama yetu corona ni mkali alimla Baba sasa kimbieni"
 
sblandes,
Inawezekana kweli hakujua impact yake na hakujiandaa lakini je hakuna washauri? Waganga wakuu wanaoiona hali halisi walishindwa kushauri?
 
Kwa hii post ndo tunajuana tuliokunywa UJI na kula UGALI wa SEMBE au DONA utotoni 😁😁😁
 
Raisi kajiweka pembeni as if ni mtazamaji amegeuka auditor wakati serikali ni yake
Huyu jamaa alishasema,alisukumiziwa ikulu,nadhani tunamlazimisha kuendelea kuwa rais wetu.he is very irresiponsible leader
 
Hata ikitokea hivyo hutapaswa kumlaumu kiongozi yeyote, kwani ulikuwa na uwezo wa kujifungia ndani wewe na familia yako msitoke nje kabisa. Nini kinakufanya usubiri mtu akumbie ujifungie ndani? Halafu unasema una akili.
Mimi ninaomba kuuliza tumaposema tunapaswa kujifungia ndani hivi mnajua kuwa kuna ofisi nyingine ni lazima mtu aende ofisini? Na hata hiyo kauli ya kujifungia ndani haijatolewa rasmi kwa wafanyakazi wengine si kwa maandishi wala waraka….. unaanzia wapi kujifungia ndani?

Ofisi nyingi kwa sasa inachofanya ni kupanga zamu watu waje kwa zamu ili kuepusha misongamano maofisini hasa kwa kazi ambazo zinafanana mf. wahudumu wa maofisi (Office Attendants/ wahasibu n.k) inasaidia but usafiri wanaotumia wajapo maofisini wengi wao ni wa public (tumesikia ni level siti lakini kuna kugombania ili upate siiti) Akifika ofisini anaingia na mavazi yake....sana sana atanawa na sanitizer kamaliza)………

Na je vipi wale ambao wanakaa nyumba za kupanga zile za chumba kimojja ndani ya nyumba yenye vyumba kumi au nane? Wanashare mabafu/vyoo, korido za kupita na kupikia……. je staying at home bado inafanya kazi?...…….Sijazungumzia wale wenye familia kubwa, extended families ambao wanakula pamoja hata kama kuna wanaolala gheto.

Changamoto bado ni nyingi kwa kweli...………
 
Hapa naona vita kati ya CCM vs wapinzani; tiba mbadala vs wasomi, vijana wa mjini vs wahenga. Kwa hiyo lazima tofauti zitakuwepo.
 
Tangu alipokuwa akiomba Kura kibwagizo chake ni Hapa kazi Tu, sasa mlikuwa mnategemea nini kama Sio kazi bila kujali vikwazo vilivyopo na vijavyo? Mbona mnakuwa wasahaulifu? Wa Tz bhana!!!
 
Back
Top Bottom