Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mbona mwalilia COVID19?Sisi Watanzania hatutaki lockdown Wanaotaka lockdown ni wanasiasa matajiri wasio kuwa na njaa
Sisi wamachinga,mamalishe, wauza kahawa, mawakala wa mpesa, wauza maduka, madalali,wakulima, wawabangaizaji nk.
Hatujawahi na hatuitaki lockdown sisi tutakufa kishujaa tukitafuta mkate wa kila siku
Rais Magufuli wanaolilia lockdown ni wanasiasa matajiri wenye mishahara mikubwa, wasio kuwa na njaa na wala hawajawahi kuja kwetu kuuliza matatizo yetu...
... leo utaanzisha thread za kingese kweli kweli! Kama umepagawa vile!
Locdown haina maana tumeshachelewa tu acha wa kufa wafe tuone watabaki wangapi. Nawapa ple wenye TB, HIV, Kisukari, BP... na wengi ni vigogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mwalilia COVID19?
Ipo pale Kariakoo Mtaa wa Kongo nje nje, nenda kajipatie asubuhi subuhi, jioni Mlonganzila, keshokutwa unazikwa na serikali bure kabisa ,na nduguzo 10 wakishuhudia.
Kwa nini twaandikia mate ilhali wino upo!!!
Usiwe unasahau kuweka namba zako za simu kwenye mabandiko yako mkongwe.
Tuko pamoja!!!
Walizaliwa kupitia njia mbadala ya matusi!Chadema mlizaliwa na matusi ?
Sisi Watanzania hatutaki lockdown Wanaotaka lockdown ni wanasiasa matajiri wasio kuwa na njaa
Sisi wamachinga,mamalishe, wauza kahawa, mawakala wa mpesa, wauza maduka, madalali,wakulima, wawabangaizaji nk...
Nyakanazi nilishatoka mkongwe. Kwasasa nipo Chimborazo.Asante Mkuu bado upo boda ya nyakanazi Au umeondoka?
Mkuu Pascal , je, unaweza kulaumu kuna upungufu wa mawazo JF!Nguruvi3,
Mkuu Nguruvi3, asante nimekusikia, karibu mitaa hii
Corona: Tusinyoosheane vidole. Kama unaweza kusaidia, please do. Usisubiri uombwe - jitokeze saidia, vinginevyo nyamaza! - JamiiForums
Mkuu nguruvi3, kwasababu mimi nilisupport hatua za Magufuli tangu day 1 kwa kuamini Corona sio tropical disease, ni ugonjwa wa Wazungu, ila ulipoanza kushika kasi nilibadili msimamo na kushauri.Mkuu Pascal , je, unaweza kulaumu kuna upungufu wa mawazo JF!
Kila jambo, kila ushauri uliotolewa sasa unatimia bila shurti bali kwa njia za kitaalamu
1. Tulishauri serikali iandae PPE kwa watumishi wa afya hata kama hakuna mgonjwa! Leo hakuna
2. Tukasema mapambano yaongozwe na watalaam wa afya siyo wanasiasa. Yakapuuzwa
3. Tukasem ni muhimu kuzuia kwa kufunga shughuli kama utalii bila ya mgonjwa...
Umeonyesha uungwana kukubali kuwa ulikuwa hujui na sasa umejua na umebadilisha msimamo, sasa tuna jukumu la kuhakikisha serikali nayo inabadilisha msimamo ili Tanzanua isipoteze watu mil. 1.Mkuu nguruvi3, kwasababu mimi nilisupport hatua za Magufuli tangu day 1 kwa kuamini Corona sio tropical disease, ni ugonjwa wa Wazungu, ila ulipoanza kushika kasi nilibadili msimamo na kushauri.
Kwa sasa tuko kwenye injury stage, the best thing to do now ni kuendelea kushauri and help out, kunyoosheana vidole is adding an insult to an injury, halafu tatizo likiisha ndipo tufanye postmortem na pointing fingers where we did wrong.
P
Kinachofanyika kenya ni Curfew na sio total lock down. Tofauti ya hivi viwili ni kuwa total lockdown utashinda ndani 24 hrs na utatoka kwa kibali maalum tu na kwa utaratibu maalum wakati kwenye curfew unaruhisiwa kutoka nje na kufanya kazi kwa masaa maalum na unapaswa kuwa katika makazi yako muda wa curfew unapofika hii hupunguza mikusanyikoa au mlundikano usio wa lazima kama kwenye kumbi za starehe jioni au vijiweni.Ni kuhusu lockdown.
Uwezo wa kuishi bila kula mwanamke anaweza kuishi siku nyingi zaidi kuliko mwanaume. LOCKDOWN ni gereza la kifamilia kwa hiyo kama kila familia inakuwa katika lockdown maana yake nchi inageuka ni gereza kuu. Huko Kenya watu kadhaa wameuawa na polisi kisa kujaribu kujiweka huru.
Hapa Tanzania sisi tulio wengi ni HAND TO MOUTH, yaani unapata na kutumia siku hiyo hiyo. Hatuna akiba; tulio wengi wenye fedha za kujikimu ni wachache sana.
Uamuzi wa Mh Rais Magufuli kukataa lockdown kumepokewa vema na Wengi bali ni wachache (matajiri) wenye pesa zao hao wanaona kama si sahihi.
Tujaribu kujifunza Marekani wamechoka lockdown South Africa wameichoka lockdown nk. Itachukua muda kumuelewa Mu Rais kwanini ameruhusu tuendelee na kazi zetu kama kawaida lakini kila mara amatutqhadharosha tufuate muongozo wa serikali katika kujikinga na Coronavirus.
Kama tungekuwa lockdown leo hii maafa yangekuwa ni mamia kwa njaa, stress, ugomvi wa kifamilia kati ya baba na mama nadhani hata mauaji yametokea.
Mh watakuelewa miaka kadhaa ijayo.
Mkuu hili tulipingana sana nikakueleza kuwa Corona ni 'novel virus' hakuna anayejua tabia zake , na kwamba nchi zinazokaribiana na 'Tropical ' kama Italy ziliathirika vibaya sana.Mkuu nguruvi3, kwasababu mimi nilisupport hatua za Magufuli tangu day 1 kwa kuamini Corona sio tropical disease, ni ugonjwa wa Wazungu, ila ulipoanza kushika kasi nilibadili msimamo na kushauri.
Kwa sasa tuko kwenye injury stage, the best thing to do now ni kuendelea kushauri and help out, kunyoosheana vidole is adding an insult to an injury, halafu tatizo likiisha ndipo tufanye postmortem na pointing fingers where we did wrong.
Hawa hakunaga jema ambalo Dr. JPM atalitenda!Kuna athari kubwa sana kwa mtu akijijengea fikira ya kupinga kila kitu,hebu fikiria kidogo makao makuu ya umoja wa mataifa yako Marekani,unataka kuniambia katibu mkuu wa umoja wa mataifa akitaka kutoa hotuba hadi aende Marekani,hawezi kuwa Tanzania na bado akahutubia mataifa yote?
Chato ni Tanzania,tupunguzeni manunguniko yasiyo tija
Sent using Jamii Forums mobile app
Si virusi wote husababisha immunity baada ya kumpata mtu.Mkuu hili tulipingana sana nikakueleza kuwa Corona ni 'novel virus' hakuna anayejua tabia zake , na kwamba nchi zinazokaribiana na 'Tropical ' kama Italy ziliathirika vibaya sana.
Nchi za hali ya baridi ya wastani kama Spain ziliathirika na ilikuwa wazi Sub Saharan hatupo salama...
Hawa hakunaga jema ambalo Dr. JPM atalitenda!