Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Sisi Watanzania hatutaki lockdown Wanaotaka lockdown ni wanasiasa matajiri wasio kuwa na njaa

Sisi wamachinga,mamalishe, wauza kahawa, mawakala wa mpesa, wauza maduka, madalali,wakulima, wawabangaizaji nk.

Hatujawahi na hatuitaki lockdown sisi tutakufa kishujaa tukitafuta mkate wa kila siku
Rais Magufuli wanaolilia lockdown ni wanasiasa matajiri wenye mishahara mikubwa, wasio kuwa na njaa na wala hawajawahi kuja kwetu kuuliza matatizo yetu...
Mbona mwalilia COVID19?
Ipo pale Kariakoo Mtaa wa Kongo nje nje, nenda kajipatie asubuhi subuhi, jioni Mlonganzila, keshokutwa unazikwa na serikali bure kabisa ,na nduguzo 10 wakishuhudia.
Kwa nini twaandikia mate ilhali wino upo!!!
 
Chadema wamepotoka kulilia lockdown
Mbona mwalilia COVID19?
Ipo pale Kariakoo Mtaa wa Kongo nje nje, nenda kajipatie asubuhi subuhi, jioni Mlonganzila, keshokutwa unazikwa na serikali bure kabisa ,na nduguzo 10 wakishuhudia.
Kwa nini twaandikia mate ilhali wino upo!!!
 
Sisi Watanzania hatutaki lockdown Wanaotaka lockdown ni wanasiasa matajiri wasio kuwa na njaa

Sisi wamachinga,mamalishe, wauza kahawa, mawakala wa mpesa, wauza maduka, madalali,wakulima, wawabangaizaji nk...

1. Kwani Covid 19 inabagua makundi?

2. Kwani hao wa "vipato vya chini" hawaambukizwi na kufa na Covid 19?

Kama Covid 19 haibahui makundi na pia kama maskini wanaugua na kufa basi kigezo na hoja ya kipato ni dhaifu mno kutumika kama sehemu ya maamuzi.

NB: Tuache siasa kwenye jambo muhimu lenye kugusa maisha, afya na uhai wa Watanzania kama hili.
 
Sisi tutafungiwa na wengine. Pengine hii inaweza kuwa na athari kubwa za muda mrefu katika maeneo mengi kiuchumi, kijamii na hata kisiasa kwa taifa na kwa watu binafsi.
 
Mkuu Pascal , je, unaweza kulaumu kuna upungufu wa mawazo JF!

Kila jambo, kila ushauri uliotolewa sasa unatimia bila shurti bali kwa njia za kitaalamu

1. Tulishauri serikali iandae PPE kwa watumishi wa afya hata kama hakuna mgonjwa! Leo hakuna

2. Tukasema mapambano yaongozwe na watalaam wa afya siyo wanasiasa. Yakapuuzwa

3. Tukasem ni muhimu kuzuia kwa kufunga shughuli kama utalii bila ya mgonjwa.

4. Tukasema hatuishi dunia yetu, ni lazima tushirikiane na wenzetu wa EAC. Leo tumetengwa tukiwa na # za juu

5. Tukasema ikiwa vyuo na shule vimefungwa, basi misikiti, makanisa harusi na mabaa vifungwe.

6. Tukashauri kuwepo kwa mgonjwa mmoja kutakuwa na community spread hatu zichukuliwe kali.

9. Tukasema 'tokeni mchape kazi' ni kauli mbovu sana itakayowaumiza Watanzania. Sasa ni mwendo wa usiku

10. Juzi tukasema ikiwa karantini haitawekwa, basi itatokea naturally, na ndivyo ilivyo sasa!

11. Tukasema mwezi May tutashuhudia dhahma, hata kabla ya May tunayaona.

Orodha inaendelea , pascal , Je bado unaamini watu wananyoosha vidole tu bila sababu?

Hili jambo tulikuwa na muda wa kulizuia mapema, tukafanya mzaha sana.

Eti wapo waliosema linahitaji African solutions, wengine wakasema ni bahati nasibu na watashinda, well, leo vipi !

Tukatumia muda mwingi kukimbizana na wale mabinti wawili badala ya kuagiza PPE kwa watalaam , sasa linatutesa. tunachekwa. Tunachekwa vizuri tuu!

Mpukutiko utaendelea hadi mwezi May mwishoni

JokaKuu
 
Mkuu Pascal , je, unaweza kulaumu kuna upungufu wa mawazo JF!

Kila jambo, kila ushauri uliotolewa sasa unatimia bila shurti bali kwa njia za kitaalamu

1. Tulishauri serikali iandae PPE kwa watumishi wa afya hata kama hakuna mgonjwa! Leo hakuna

2. Tukasema mapambano yaongozwe na watalaam wa afya siyo wanasiasa. Yakapuuzwa

3. Tukasem ni muhimu kuzuia kwa kufunga shughuli kama utalii bila ya mgonjwa...
Mkuu nguruvi3, kwasababu mimi nilisupport hatua za Magufuli tangu day 1 kwa kuamini Corona sio tropical disease, ni ugonjwa wa Wazungu, ila ulipoanza kushika kasi nilibadili msimamo na kushauri.

Kwa sasa tuko kwenye injury stage, the best thing to do now ni kuendelea kushauri and help out, kunyoosheana vidole is adding an insult to an injury, halafu tatizo likiisha ndipo tufanye postmortem na pointing fingers where we did wrong.
P
 
Umeonyesha uungwana kukubali kuwa ulikuwa hujui na sasa umejua na umebadilisha msimamo, sasa tuna jukumu la kuhakikisha serikali nayo inabadilisha msimamo ili Tanzanua isipoteze watu mil. 1.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kuhusu lockdown.

Uwezo wa kuishi bila kula mwanamke anaweza kuishi siku nyingi zaidi kuliko mwanaume. LOCKDOWN ni gereza la kifamilia kwa hiyo kama kila familia inakuwa katika lockdown maana yake nchi inageuka ni gereza kuu. Huko Kenya watu kadhaa wameuawa na polisi kisa kujaribu kujiweka huru.

Hapa Tanzania sisi tulio wengi ni HAND TO MOUTH, yaani unapata na kutumia siku hiyo hiyo. Hatuna akiba; tulio wengi wenye fedha za kujikimu ni wachache sana.

Uamuzi wa Mh Rais Magufuli kukataa lockdown kumepokewa vema na Wengi bali ni wachache (matajiri) wenye pesa zao hao wanaona kama si sahihi.

Tujaribu kujifunza Marekani wamechoka lockdown South Africa wameichoka lockdown nk. Itachukua muda kumuelewa Mu Rais kwanini ameruhusu tuendelee na kazi zetu kama kawaida lakini kila mara amatutqhadharosha tufuate muongozo wa serikali katika kujikinga na Coronavirus.

Kama tungekuwa lockdown leo hii maafa yangekuwa ni mamia kwa njaa, stress, ugomvi wa kifamilia kati ya baba na mama nadhani hata mauaji yametokea.

Mh watakuelewa miaka kadhaa ijayo.
 
Kinachofanyika kenya ni Curfew na sio total lock down. Tofauti ya hivi viwili ni kuwa total lockdown utashinda ndani 24 hrs na utatoka kwa kibali maalum tu na kwa utaratibu maalum wakati kwenye curfew unaruhisiwa kutoka nje na kufanya kazi kwa masaa maalum na unapaswa kuwa katika makazi yako muda wa curfew unapofika hii hupunguza mikusanyikoa au mlundikano usio wa lazima kama kwenye kumbi za starehe jioni au vijiweni.

Pia kenya imefanya cities kuzuia muingiliano wa watu kuelekea au kutoka katika miji mikubwa, ndio maana kuna baadhi ya kaunti hazijaripoti maambukizi mpaka sasa. New cases zinazotoka maeneo yaleyale almost kila siku kama mombasa na ni chache, ni mara chache huzidi 20 tofauti na bongo 100+ new cases.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakula tu matapishi yake. Ngoja tusubiri. Aliyesema NEVER say NEVER hakuwa mjinga. Unaweza kusema NEVER kwenye kilabu cha pombe lakini siyo kwenye TV wakati unahutubia taifa.
 
Mkuu nguruvi3, kwasababu mimi nilisupport hatua za Magufuli tangu day 1 kwa kuamini Corona sio tropical disease, ni ugonjwa wa Wazungu, ila ulipoanza kushika kasi nilibadili msimamo na kushauri.

Kwa sasa tuko kwenye injury stage, the best thing to do now ni kuendelea kushauri and help out, kunyoosheana vidole is adding an insult to an injury, halafu tatizo likiisha ndipo tufanye postmortem na pointing fingers where we did wrong.
Mkuu hili tulipingana sana nikakueleza kuwa Corona ni 'novel virus' hakuna anayejua tabia zake , na kwamba nchi zinazokaribiana na 'Tropical ' kama Italy ziliathirika vibaya sana.

Nchi za hali ya baridi ya wastani kama Spain ziliathirika na ilikuwa wazi Sub Saharan hatupo salama

Hilo ndilo lilichagiza tukashauri mambo 11 ya haraka kufanyika ili kuzuia ugonjwa au kuunguza makali kama wanavyofanya Kenya, Uganda na Rwanda. Kudos

Katika maambukizi (infectious disease) katika kiwango cha Pandemic kuna stage kama 4 au 5 kama sikosei.

Tanzania tumeshapita zote na sasa tupo stage ya mwisho ambayo ni kualika jeshi ili lisaidie katika kudhibiti watu na kusaidia shughuli kama za usambazaji wa vifaa tiba, huduma muhimu kama vyakula na hata mazishi.

Hili limefanyika kote duniani kuanzia Marekani, Australia, UK , China, Korea, Italy , Spain n.k.
Si bahati mbaya ni utaratibu wa control na upo katika ''Epidemiology'

Sasa hivi ni too late hakuna cha kufanya, community spread inashika kasi.

Tunachoweza kufanya ni kuzuia isiende vijijini kwenye wazee na watu wenye underlying disease

Nini kitatokea?
Mwezi wa May na June maambukizi yatafikia kileleni yakiambatana na vifo vingi sana.

Baada ya hapo graph itakuwa peak halafu plateau ambapo wanaoambukizwa ni wachache lakini idadi ya vifo itabaki kubwa kwasababu walioambukizwa watakuwa wanaugua kwa nyakati tofauti .

Mwezi July graph itaanza kushuka, kwa maana maabukizi machache , vifo vichache

Halafu itatokea Herd Immunity kwamba watu wengi wataambukizwa na hakutakuwa na maambukizi zaidi.
WHO wanasema hakuna uhakika kama mtu aliyeambukizwa hataambukizwa tena .

Kwa kawaida, Virus wakishamshambulia mtu, hawawezi kumshambulia tena kwasababu mwili una immunity.

Ndivyo ilivyo kwa surual(measles, small pox, chicken pox na hata baadhi ya strain za influenza)

Kinachoweza kufanyika sasa hivi ni kuzuia mikusanyiko kama Bunge n.k.

Haina maana kuzuia watu wasizike wapendwa wao halafu misikiti na makanisa yapo wazi.
It does not make sense!

JokaKuu MsemajiUkweli Mzee Mwanakijiji
 
Kuna athari kubwa sana kwa mtu akijijengea fikira ya kupinga kila kitu,hebu fikiria kidogo makao makuu ya umoja wa mataifa yako Marekani,unataka kuniambia katibu mkuu wa umoja wa mataifa akitaka kutoa hotuba hadi aende Marekani,hawezi kuwa Tanzania na bado akahutubia mataifa yote?

Chato ni Tanzania,tupunguzeni manunguniko yasiyo tija

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa hakunaga jema ambalo Dr. JPM atalitenda!
 
Mkuu hili tulipingana sana nikakueleza kuwa Corona ni 'novel virus' hakuna anayejua tabia zake , na kwamba nchi zinazokaribiana na 'Tropical ' kama Italy ziliathirika vibaya sana.

Nchi za hali ya baridi ya wastani kama Spain ziliathirika na ilikuwa wazi Sub Saharan hatupo salama...
Si virusi wote husababisha immunity baada ya kumpata mtu.
 
Back
Top Bottom