Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

kuna siku utamtaka mke wake naye awe na NGO kama first ladies waliopita, au mtoto wake pia agombee ubunge kama Riz.
"Kila kitabu na zama zake"

..mama maria nyerere alikuwa na ngo?

..tunamtaka aige mema yaliyofanywa na waliomtangulia.
 
"Navipongeza vyombo vya dola kwa kulinda nchi wakati huu wa Corona. Vinafanya kazi nzyri"
Nadhani hapa wanapongezwa kwa kumdhibiti Mbowe leo.

"Naomba tuendelee kuchukua tahadhari. Corona ipo ni hatari na inaua"

Leo kaugonjwa kamekuwa hatari.

Mwisho wa hotuba!
 
Wamejua atalopoka imebidi waondoe matangazo, maana hakawii kusema kagonjwa haka kadogo mpaka link ya ikulu haifunguki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…