Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Joseph alifariki dunia, wengine wapo quarantaine. Mafundi mitambo waliopo sio wazoefu.Mbona sioni kitu? Au TBC yangu ni tofauti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Joseph alifariki dunia, wengine wapo quarantaine. Mafundi mitambo waliopo sio wazoefu.Mbona sioni kitu? Au TBC yangu ni tofauti?
Marin kaondoka na TBC bwashee!Kati ya chanel mbovu Tz,hawajawahi kufanya kitu kwa makini,tv ya taifa halafu haiwezi kurusha hata Rais akihutubia,hawa wafanyakazi wa tbc wanakula mshahara wa bure
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Kikwete mwenyewe alikuwa halali Msoga. Alikuwa anaenda na kurudi. Muda mwingi alitumia nje ya nchi.Mbona wakati wa kikwete kulikuwa na ikulu msoga?
Tokea Joseph afariki siku 14 sidhani kama zimekwisha.Kwani siku 14 hazijaisha tu?!
Jeshi sio vita tu. Hata masuala afya.Anataka kusemaje, mbona hiyo sekta ya jeshi la wananchi ni nzito sana kuzungumza nao huko ndani ndani chato
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado..Haijaanza?
"corona ipo tuchukue tahadhari"
Sasa hivi wameanza tena hoja ooh anaongelea Chato.Chadema walilia sana wamwone President huyo hapo sasa
Basi wangewakodi mafundi wa Le mutuz tv!Tokea Joseph afariki siku 14 sidhani kama zimekwisha.
Hivi watumishi wa TBC hulipwa mishahara?Kati ya chanel mbovu Tz,hawajawahi kufanya kitu kwa makini,tv ya taifa halafu haiwezi kurusha hata Rais akihutubia,hawa wafanyakazi wa tbc wanakula mshahara wa bure
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Hii kwani chadema?Sasa kwanini polisi wamezuia press conference ya chadema lakini hawazuii hii
Marin kaondoka na TBC bwashee!
Waandishi wa habari nao sijui Wana kasumba gani, wanatumika kufanya kazi za watu na bado hawapewi credit za kutosha Ila wanafurahia tu.Rais wa nchi anaongea na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama sio wana habari, akili nyingine bwana.
Hivi watumishi wa TBC hulipwa mishahara?
Kwani hata akiwa mjini huwa mnakuwa wote kwenye hustle zako?Jiulize bila Corona virus,Rais angekuwa Chato muda huu ?Rais unakimbia mapambano kipindi kigumu hiki. Angebaki mjini wote tuvae Barakoa.
Hadi taarifa ya habari?Sasa ni mwezi wanarudi vipindi kuanzia jumatatu hadi jumapili,hadi taarifa ya habari wanarudia
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Mbona GADO kesha tuonyeshaChadema walilia sana wamwone President huyo hapo sasa