Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Kati ya chanel mbovu Tz,hawajawahi kufanya kitu kwa makini,tv ya taifa halafu haiwezi kurusha hata Rais akihutubia,hawa wafanyakazi wa tbc wanakula mshahara wa bure

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Marin kaondoka na TBC bwashee!
 
Kati ya chanel mbovu Tz,hawajawahi kufanya kitu kwa makini,tv ya taifa halafu haiwezi kurusha hata Rais akihutubia,hawa wafanyakazi wa tbc wanakula mshahara wa bure

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Hivi watumishi wa TBC hulipwa mishahara?
 
Rais wa nchi anaongea na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama sio wana habari, akili nyingine bwana.
Waandishi wa habari nao sijui Wana kasumba gani, wanatumika kufanya kazi za watu na bado hawapewi credit za kutosha Ila wanafurahia tu.
 
1587562116787.png
 
Back
Top Bottom