Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

akifa mtu wako wa karibu utaelewa somo, usimsifie mtu ambaye yeye mwenyewe kajificha mkoani huko, ogopa sana

kama anajiamini arudi Dar tuendelee na mapambano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mweshimiwa anaongea ukweli mtupu

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
We angalia,yani anapost kila anachosikia,Ukiangalia utamuoana yeye tu,halafu tazama sura yake,utajua tu yupo upande gani.
Kwani kuna shida mkuu? Wengi tunapata updates kupitia huu uzi.. binafsi siko karibu na TV wala redio.
 
Jamaa amekuwa mchungaji wa mahubiri.
 
amasema hakuna roko dauni wala baba yaje na roko dauni. wakimaliza kuji roko kule watakuja kuomba chakula.

anasema kama una mji mtu hawezi kukupangia cha kufanya. sisi tunaenda tunavyotaka. sisi ni taifa huru.

anashukuru na kuaga...anamsifia Ryabange hata mvi hana. Wakati yupo la 7 yeye alikuwa la 5
 
Magu ametangaza kuwa mtoto wake wa kuzaa alipata corona na amepona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…