Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Magufuli sitokaa tena nijibu mambo yake anayozungumza wala sitokaa nimuanzishie thread humu. Nasema kweli kabisa! Leo nimejua kumbe hata nchi yoyote ile duniani inaweza kuongozwa na kiumbe wa ajabu kama wananchi wake na watu wa maamuzi hawatakuwa makini.

Tanzania nadhani tumeletewa Huyu mtu ili tuelewe kuwa tunatakiwa kuchukulia kila jambo kwa umuhimu wake. Tunaonywa kuacha kupuuza vitu.

Magufuli nilikuwa natumia nguvu kuwaza vitu vya hovyo anavyoamua nilikuwa nakosea sana! Nilipaswa kutumia muda wangu kumfahamu zaidi akili yake! Mungu nisamehe! Zaidi ninafanya mambo yangu bila kumsikiliza yeye kwenye jambo lolote lile maana uwezo huo ninao! Ninafanya mambo yangu kwa kuizingatia akili yangu. Magufuli sitokaa nifuate kitu anachonielekeza maana nimemjua!

Huku tutakaa tukimbishania hata mtu ambaye hapaswi kubishaniwa huku zaidi ya kutibiwa. Hivyo sitokaa tena kubishana kuhusu mambo ya Magufuli. Mambo yenu na Magufuli wenu shauri yenu as far as hayanidhuru mimi na jamii yangu zaidi ya kuwaelimisha watu ambao kumbe na wao ni kina Magufuli wadogo!
Sindano imekuingia barabara safi sana..
siku nyingine usirudie kushindana na mawe..
utaishia kupasuka msamba....
 
Eee Mungu mpe Coronavirus asife wala asipone, kwa jinsi anavyo wazihaki waja wako kwa ukweli anaujua na ndio maana amejifucha.
 
Tunajua usanii alioufanya Prof. Mabula Mchembe, ametoa wagonjwa wote karantini na hospitalini. Wale waliobaki ambao Magufuli kawataja leo ni wagonjwa walio katika hali mbaya sana. Hao ndiyo Mchembe katumwa wizarani kuwaruhusu wabaki hosipitalini. Yani wanaosubiri kufa!

Kama nchi mkishakuwa na kiongozi ambaye hajali kabisa binadamu wake lazima mjiulize sana!
my God
 
Mkuu usishawishike hata siku moja kumuamini huyu mzee,hana ukweli hata mmoja.

Anatupeleka sipo kabisa mkuu,yaani kauli zake tu ni utata mtu alafu sijui hana kumbukumbu ya kile alichokinena hapo awali.

Tumeangamia kama taifa,dereva wenyewe ndo huyu basi tupo hatarini kutumbukia mto wami.

Sent using Jamii Forums mobile app
yapo mambo namuunga mkono moja kwa moja tunao watendaji wengine wenye dhamana lkn hawawajibiki ipasavyo kiasi wanasababisha vifo na taharuki kwa kuwa wanajifanya kama vile HATUISHI NAO.

Mfano mnazuia maiti na kuzizika nyinyi kwa kisingizio maiti itaeneza Corona, hili halijakaa sawa hata kidogo.

Mm naandika haya nikiwa Mhanga wa ugonjwa huu , na nasema wazi nilikuwa naogopa sana kuwekwa karantini hospital niliamini ndiyo kifo changu kitakuwa huko.

Nami nilipambana na mke wangu na jamaa zangu kwa kujifukiza, chai ya tangawizi ,limao, karafuu , pamoja na lishe ya mfululizo, bahati nzr sikuwa na magonjwa mengine nyemelezi.

Hosp, wanatakiwa madaktari, wauguzi na ndugu na jamaa wanatakiwa waungane kwa pamoja kumuuguza mgonjwa.

Mh Maghufuli ( PERMASHARP) siyo siri anatufanya tubadirike, kiutendaji na kimtazamo. Tuache kukariri na kufanya mambo kwa mazoea.
 
Nyerere pekee ndio alifaidi kuongoza watanzania wajinga, hakuna rais mwingine atapata bahati hiyo. Watu wameshaamka muda mrefu. Huyu ni kama anaanika nguo kavu.
Mkuu endelea kuomboleza vifo vinavyo tokea kwenye page ya kigogo tafafadhali
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga Sana hawa watu, dj na kundi lake walikimbia bunge wakiogopa Corona halafu wakarudi bungeni Tena!! Yaani akili za hawa watu zilishatekwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapuuzi sana..watu hii ni nchi yao lakini yanatamani Rais wetu eti aongoze kwa kufuata matakwa ya nchi zingine,yani kiufupi hayataki nchi isonge mbele yanawaza turudi nyuma..kungekua na uwezekano ya kutafuta mamtu kama haya then hadharani achapwe viboko siku nzima kwa kuhujumu nchi na kuisema mabaya nje ya mipaka.enzi za manabii hawa walikuaga wanapondwa mawe

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Kenyatta "Tumefunga mipaka yote ila magari makubwa ya shehena za mizigo yanaruhusiwa kuvuka baada ya madereva kupimwa Korona hapo mpakani "

Sasa sijui hamkumuelewa kennyata au mmekariri kurusha vijembe tu
Wananchi wenzako pamoja na rais wenu hawaelewi kingereza. Makosa Uhuru aliyofanya ni kukosa kuzungumza kwa kiswahili. Hawa mbumbumbu lazima uwe makini nao maana wanaweza kukinukisha kwa jambo dogo tu
 
Yaani anapoteza watu hapa na watu ndio wanaenda kujiachia. jamaa naona kaamua kuacha watu waangamie

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kupoteza tuseme ukweli,binafsi nikiivaa nashindwa kupumua vzr na ninapata maumivu makali ya kichwa hadi niitoe, nyuma ya matumizi ya barakoa kuna madhara pia tena makubwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli anasisitiza tuendelee kuchukua tahadhali na kumuomba Mungu. Kama wiki ya kesho itaendelea hivi amepanga kufungua vyuo ili masomo yaendelee. Michezo iendelee

Booking za ndege zimejaa mpaka agasti,watu wanataka kuja Tz,hakuna karantini.

Daaah,jamani hii inakuwaje?ila kweli hali ipo hivi

mbna spain ligi lisharudi toka jana ama mnasubiri mbowe awatangazie zile shule zake alizojenga kwa ruzuku za chama
 
Back
Top Bottom