Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Kabisa kabisa..wamelipwa na mabeberu,sasa ajabu yanatokea maTanzania mengine na chuki za siasa na ukabila yanamponda Rais,mengine nadhani yako huko huko nje ya nchi yanakula vya ugenini hayataki kujisimamia,kazi ni kumfurahisha mzungu tu
Majirani wameshachukua hela ya mzungu...
lazima waonyeshe uwajibikaji

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Imagine having a mad man as your President duh!!

Sent using Jamii Forums mobile app
at least yeye ana ubinadamu imagine unakuwa na president halafu anafanya haya!




See what he had to say few months back...




yet anaenda kufunga border kwa sababu za kuzuia Coronavirus infection! Now, i live u to assess his mental status...
 
Sasa kama hali ni nzuri kama anavyosema mzee baba, mbona madereva wetu kila siku wanakutwa na Koooona huko mipakani? Au wanatoka nchi gani? Au ndio vipimo vya mabeberu?

wengine walipimwa uganda wakakutwa nayo wakaenda kenya wakakuta hawana
 


Magufuli amesema ni ujinga wa kupitiliza kwa nchi ambazo zimeizunguka Tanzania kujaribu kufunga mipaka yao na Tanzania kwasababu nchi hizo zinaitegemea sana Tanzania. Ametolea mfano kwa nchi moja(Kenya) ambayo inaitegemea Tanzania kwa mahindi, mchele na hata mifugo(nyama), kutangaza kufunga mipaka wakati ikijua kwamba hawana chakula cha kutosha.

Magufuli anategemea kufungua shule na vyuo vya elimu na kuruhusu ndege kuanzia safari zake za kawaida ndani ya wiki mbili zijazo kutokana na hali ya ugonjwa wa Corona kutengemaa nchini.

Sent using Jamii Forums mobile app

That's all he can do. Kushangaa. Uhuru haezishindwa na pombe, period.
 
Nikisikiliza kutoka Chato namuona mhe Magufuli akiwa imara zaidi.
Juzi nilitoa mada yenye kichwa chake "CORONA:SHULE VYUO VINAWEZA KUFUNGULIWA" ingawa mod wameunganisha na uzi mwingine... leo namsikia Mhe Magufuli akishindilia hoja kwamba soon ataruhusu shule na vyuo vifunguliwe [emoji1319][emoji1319][emoji1319]
Tusitishane...wale wa kupingapinga endeleeni sisi tunachapa kazi.
Kumbuka Mungu ndiye mlinzi wa maisha yako
Nchi nyingi kwa sasa soon zitarejesha huduma zake kama kawaida, who wenyewe washasema ugonjwa huu utakuwepo kwa muda mrefu kikubwa tujifunze tu kuishi nao,wapingaji wanajifurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafungue angalau kuanzia mwezi wa saba, vitoto vinazidi kuzurura tu mitaani, kuleta usumbufu kwa wazazi na vinakuwa frustrated kukosa kitu maalum cha kufanya, vinaanza kubobea kwenye kuangalia muvi na tamthilia......bahati nzuri kwa umri wao wanaweza wasiathiriwe kirahisi na changamoto za upumuaji....ila baada ya masomo watatakiwa wabanwe washiriki shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na michezo huko huko shuleni ili kupunguza uwezekano wa wao kuzurura na kusambaza ugonjwa kwa wazee huku mitaani..
 


Magufuli amesema ni ujinga wa kupitiliza kwa nchi ambazo zimeizunguka Tanzania kujaribu kufunga mipaka yao na Tanzania kwasababu nchi hizo zinaitegemea sana Tanzania.

Ametolea mfano kwa nchi moja(Kenya) ambayo inaitegemea Tanzania kwa mahindi, mchele na hata mifugo(nyama), kutangaza kufunga mipaka wakati ikijua kwamba hawana chakula cha kutosha.

Magufuli anategemea kufungua shule na vyuo vya elimu na kuruhusu ndege kuanzia safari zake za kawaida ndani ya wiki mbili zijazo kutokana na hali ya ugonjwa wa Corona kutengemaa nchini.

That big headed man has no courage to mention Kenya.
 
Magu anapotosha kwa makusudi.
Ukweli ni kuwa Kenya wamefunga mpaka wake na Tanzania, lakini magari ya mizigo na madereva wanaruhusiwa kuingia na kutoka Kenya baada ya kufanyiwa vipimo.
Wakati unachangia ni vizuri ukajipa muda kutafakari kidogo, yeye ameishangaa Kenya kufunga mpaka na Tanzania na kusema kama Tanzania ikiamua nayo kufunga mpaka wake kiasi kwamba hata hayo malori tukisema pia hayaruhusiwi kupita, hali ya maisha ya wakenya itakuaje?.

Lengo lake ni kutaka kusema kufungiana mipaka sio jambo la busara, hata lockdown pia hazisaidii. Kama Tanzania tukisema tinafunga mipaka na haturuhusu hata "Cargo vehicles" kupita hali itakuaje kwa upande wa Kenya wenye kutegemea Tanzania kwa chakula?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimelazimishwa kutojifungia kwani nimeajiriwa serikalini. Pumbavu wewe. Ndivyo chakubanga anavyowafundisha kufikiri huko lumumba?
Kumbe wewe ni lijinga namna hii?

Eti umelazimishwa, yani unajiona una akili kwamba rais anahatarisha maisha yako kwa kutoruhusu lockdown,

Sasa kwanini hujaacha kazi ukajilock down kuokoa maisha yako.? Kazi si utatafuta.?

Tukiwaambia hamjielewi mnakasirika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1589715212869.png
 
Back
Top Bottom