Rais Ni mmoja tu na ndiyo mwenye mamlaka na kibali toka kwa Mungu. Tulia au jiweke karantini ili njaa ikikunyuka urudi kazini Kama ndugu zako wa bungeni!TZ nzima tuna endeshwa na mtu mmoja tu ?
Dark Side
Kwanini atolee mifano ya wakulima, kwani huko ndiko ulikoanzia?Wewe ndio muongo hujui unachandika
Sindano imekuingia barabara safi sana..Magufuli sitokaa tena nijibu mambo yake anayozungumza wala sitokaa nimuanzishie thread humu. Nasema kweli kabisa! Leo nimejua kumbe hata nchi yoyote ile duniani inaweza kuongozwa na kiumbe wa ajabu kama wananchi wake na watu wa maamuzi hawatakuwa makini.
Tanzania nadhani tumeletewa Huyu mtu ili tuelewe kuwa tunatakiwa kuchukulia kila jambo kwa umuhimu wake. Tunaonywa kuacha kupuuza vitu.
Magufuli nilikuwa natumia nguvu kuwaza vitu vya hovyo anavyoamua nilikuwa nakosea sana! Nilipaswa kutumia muda wangu kumfahamu zaidi akili yake! Mungu nisamehe! Zaidi ninafanya mambo yangu bila kumsikiliza yeye kwenye jambo lolote lile maana uwezo huo ninao! Ninafanya mambo yangu kwa kuizingatia akili yangu. Magufuli sitokaa nifuate kitu anachonielekeza maana nimemjua!
Huku tutakaa tukimbishania hata mtu ambaye hapaswi kubishaniwa huku zaidi ya kutibiwa. Hivyo sitokaa tena kubishana kuhusu mambo ya Magufuli. Mambo yenu na Magufuli wenu shauri yenu as far as hayanidhuru mimi na jamii yangu zaidi ya kuwaelimisha watu ambao kumbe na wao ni kina Magufuli wadogo!
my GodTunajua usanii alioufanya Prof. Mabula Mchembe, ametoa wagonjwa wote karantini na hospitalini. Wale waliobaki ambao Magufuli kawataja leo ni wagonjwa walio katika hali mbaya sana. Hao ndiyo Mchembe katumwa wizarani kuwaruhusu wabaki hosipitalini. Yani wanaosubiri kufa!
Kama nchi mkishakuwa na kiongozi ambaye hajali kabisa binadamu wake lazima mjiulize sana!
Upimaji ulikuwa unaendelea lakini data reporting ndio ilisimama ili kuzichunguza zaidi. Wagonjwa wamepungua kwa sababu WAMEPONA!! Mungu amejibu maombi!!Je wagonjwa wamepungua sababu Corona imeisha au sababu tumesimamisha upimaji wiki ya tatu hii sasa??
yapo mambo namuunga mkono moja kwa moja tunao watendaji wengine wenye dhamana lkn hawawajibiki ipasavyo kiasi wanasababisha vifo na taharuki kwa kuwa wanajifanya kama vile HATUISHI NAO.Mkuu usishawishike hata siku moja kumuamini huyu mzee,hana ukweli hata mmoja.
Anatupeleka sipo kabisa mkuu,yaani kauli zake tu ni utata mtu alafu sijui hana kumbukumbu ya kile alichokinena hapo awali.
Tumeangamia kama taifa,dereva wenyewe ndo huyu basi tupo hatarini kutumbukia mto wami.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini akili zenu zimezidiwa na madaraka mliyopewa?Siyo kwamba akili yako ndiyo haitoshi kupokea ujumbe wa Rais magufuli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jpm Yuko vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]Huruhusiwi kwenda sokoni, na saa nyingine unaruhusiwa kutoka kidogo tu, halafu usiku usitoke kana kwamba Corona inatembea usiku ....
Hapo kwenye rangi kuna mtu kapigwa hahaaa
Ni haki yako.
Naungana naye, me nikivaa barakoa nashindwa kabisa kupumua yaani nahangaika sana,nafikiri uvaaji wa muda mrefu wa barakoa nao ni tatizoAmempa kongole baba Askofu kwa kutokuvaa barakoa
[emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu endelea kuomboleza vifo vinavyo tokea kwenye page ya kigogo tafafadhaliNyerere pekee ndio alifaidi kuongoza watanzania wajinga, hakuna rais mwingine atapata bahati hiyo. Watu wameshaamka muda mrefu. Huyu ni kama anaanika nguo kavu.
Wapuuzi sana..watu hii ni nchi yao lakini yanatamani Rais wetu eti aongoze kwa kufuata matakwa ya nchi zingine,yani kiufupi hayataki nchi isonge mbele yanawaza turudi nyuma..kungekua na uwezekano ya kutafuta mamtu kama haya then hadharani achapwe viboko siku nzima kwa kuhujumu nchi na kuisema mabaya nje ya mipaka.enzi za manabii hawa walikuaga wanapondwa maweWajinga Sana hawa watu, dj na kundi lake walikimbia bunge wakiogopa Corona halafu wakarudi bungeni Tena!! Yaani akili za hawa watu zilishatekwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wananchi wenzako pamoja na rais wenu hawaelewi kingereza. Makosa Uhuru aliyofanya ni kukosa kuzungumza kwa kiswahili. Hawa mbumbumbu lazima uwe makini nao maana wanaweza kukinukisha kwa jambo dogo tuKenyatta "Tumefunga mipaka yote ila magari makubwa ya shehena za mizigo yanaruhusiwa kuvuka baada ya madereva kupimwa Korona hapo mpakani "
Sasa sijui hamkumuelewa kennyata au mmekariri kurusha vijembe tu
Mabeberu?Magufuli akiongea dunia inasimama na kujadili hotuba yake
Kuna Nchi fulani zinataka kuleta mchezo hatutazihurumia
Akikujibu mpe soda huyo nanga[emoji23][emoji23][emoji23]Duh..!
Kama ni hivyo basi hali ni ya kutisha.
Ila na wewe mbona hukuleta hii taarifa kabla ya hotuba ya Magu!?
Sio kupoteza tuseme ukweli,binafsi nikiivaa nashindwa kupumua vzr na ninapata maumivu makali ya kichwa hadi niitoe, nyuma ya matumizi ya barakoa kuna madhara pia tena makubwa tuYaani anapoteza watu hapa na watu ndio wanaenda kujiachia. jamaa naona kaamua kuacha watu waangamie
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana lolote atutokee h
Magufuli anasisitiza tuendelee kuchukua tahadhali na kumuomba Mungu. Kama wiki ya kesho itaendelea hivi amepanga kufungua vyuo ili masomo yaendelee. Michezo iendelee
Booking za ndege zimejaa mpaka agasti,watu wanataka kuja Tz,hakuna karantini.
Daaah,jamani hii inakuwaje?ila kweli hali ipo hivi