Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Najivunia sana kuwa na Rais Shupavu na Imara kama DR. Magufuli, natembea duniani huku nikijiamini kuwa nina ongozwa na mtu Imara sana.

Kwa mara ya kwanza Imani yangu ya uzalendo Kwa nchi yangu imeongezeka mara dufu ktk kipindi hiki cha awamu hii yatano chini ya Magufuli.

Kwa mara ya kwanza nimeliombea Nchi Yangu Tanzania pamoja na Rais wetu dua maalum. haijawahi kutokea bali yote yametokana na Mtu mwema na Mwenye hofu ya Mungu kuongoza nchi yetu.
 
Haombewi yeyote hapa.Kila mtu apambane na kushinda mechi yake. Na maabara ipi mtoto wako ulimpima kama ya taifa uliipiga kwara? Atakayekuamini ni kwa hasara zake mwenyewe.
Wewe usipomwombea hakipungui kitu! Kuna mamilioni ya watanzania takriban milioni sitini tunamwombea na tutazidi kumwombea!! Mungu wetu amejibu maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijibwa kama nyinyi ni hasara kwa taifa kwani hata kubweka kumtishia mwizi hamuwezi.
Nilikuwa namjibu mbwa mmoja wa huko lumumba aliyesema sijalazimishwa. Nikamwambia nimelazimishwa kimkataba wa kazi.
Niletee mamako nimlambe tigo. Hatajutia.
Haya sasa acha kupanic!

Nenda kuomboleza vifo vinavyotokea kwenye page ya kigogo tafadhali,..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upimaji ulikuwa unaendelea lakini data reporting ndio ilisimama ili kuzichunguza zaidi. Wagonjwa wamepungua kwa sababu WAMEPONA!! Mungu amejibu maombi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kipimo kile kile kilichokuwa wadudu katika mapapai na matemate ya mafenesi?

Je hawa madereva 80 waliokutwa na maambukizi mipakani hawamo katika takwimu zetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…