Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Ni kipimo kile kile kilichokuwa wadudu katika mapapai na matemate ya mafenesi?

Je hawa madereva 80 waliokutwa na maambukizi mipakani hawamo katika takwimu zetu?
Utaratibu wa kimataifa ni kwamba mgonjwa wa COVID 19 huingizwa kwenye takwimu ya nchi alikopimiwa. Hata kwenye takwimu zetu si wote ni watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhhhhhh hizi za kuambiwa changanya na zako, why yeye hayupo Ikulu??
 
Hapo alipo anachapa kazi!! Anaendelea kutoa maelekezo, anafanys teuzi, anaapisha nk. Hakuna kilichopungua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti Africa unafanya lockdown wakati njia za panya zimejaa na huwezi zuia muingiliano wa watu, wengine uombana hata Moto wala awahitaaji pasipoti kuvuka
 
Katika akiri tu Ya kawaida, kwa kipindi hiki huwezi kwenda kwenye sehemu ya mikusanyiko mikubwa ukakuta hakuna alievaa mask ,kitu kingne sidhani kuwa kwenye kikao cha rais unaweza kuruhusiwa kuingia pasipo kuvaa mask.

Picha zinaonesha kuwa watu wote hawakuvaa mask, hiii maaana yake wote walikatazwa wasivae?na kwa nini walikatazwa wasivae mask? Ni Kwa faida ipi? Inamaaana watu hawa walipangwa na Kama walipangwa nikuwa kuna usaniii Mkubwa unafanyika tena usaniii ambao hujui kwa nini unafanyika, Mimi nashindwa hata kuelewa, why inafanyika hivyo? Nikwa ajiri ya kumfurahisha mtu Fulani Au nikwa ajiri ya kumkomoa mtu au ni kutaka kulazimisha kuwa hakuna tatizo? Ila kwa levo ya Yule kiutawala haya mambo hayastahili ayafanye bhana, haya huwa yanafanywa na watoto

Kufanya hivyo hata utakayoyaongea kwa watu wenye akiri wataona kuwa ni usaniii tu, maaaana Kama umefanya hivi kuwaambia watu waingie pasipo masks utashindwa nini kudanganya? Hiii imenifikirisha Sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kigogo sindo alizusha kuwa mkuu wa nchi kadanja baada ya kupigwa na mosh kule kusini mwa tanzania
Sio kuzusha JIWE alikuwa anaumwa ila alikuwa anaongeza chumvi kuwapagawisha na kuwachanganya watu!! Sina wasiwasi na taarifa za kigogo hata kama haijakuwa basi ina uhalisia wa 99% ya ukweli.

Taarifa anazozitoa huwa zinakanushwa sana kwa mara ya kwanza ila baadae zinakuja kuonekana kweli.
 
Mbona ata mtaani sahivi watu hawavai ilo la kanisani lisikushangaze mkuu.

Wacha liwashangaze WHO


It is never too late to begin. Start now
 
Daah . . .kama ni kufungua shughuli za kawaida angefungua lakini with high level of vigilance kwa sababu kuna uwezekano mkubwa wananchi wakajisahau
 
We meza tu pini mkuu
Jpm ndiyo keshaongea hivyo,kwa maneno na kwa matendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…