Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ninachojua, si Kenya Wala Tanzania inayojitosheleza kwa chakula,na anaebisha atuambie sukari iko wapi?au atueleze Kama hizo tani zinazoshushwa bandarini zimetoka mtibwa SugarWakati unachangia ni vizuri ukajipa muda kutafakari kidogo, yeye ameishangaa Kenya kufunga mpaka na Tanzania na kusema kama Tanzania ikiamua nayo kufunga mpaka wake kiasi kwamba hata hayo malori tukisema pia hayaruhusiwi kupita, hali ya maisha ya wakenya itakuaje?.
Lengo lake ni kutaka kusema kufungiana mipaka sio jambo la busara, hata lockdown pia hazisaidii. Kama Tanzania tukisema tinafunga mipaka na haturuhusu hata "Cargo vehicles" kupita hali itakuaje kwa upande wa Kenya wenye kutegemea Tanzania kwa chakula?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mimi sizungumziii aliyoyaongea nazungumzia zile Picha kuwa, ilikuwaje wakaenda wote pasipo mask? Nadhani hata wewe huenda unajiuliza hivyo Mkuu, Kama wameelekezwa hivyo maaana yake ni nini?We meza tu pini mkuu
Jpm ndiyo keshaongea hivyo,kwa maneno na kwa matendo
Yule anawakamata wajinga wenzie wasiojua kuchambua mamboSio kuzusha JIWE alikuwa anaumwa ila alikuwa anaongeza chumvi kuwapagawisha na kuwachanganya watu!! Sina wasiwasi na taarifa za kigogo hata kama haijakuwa basi ina uhalisia wa 99% ya ukweli.
Taarifa anazozitoa huwa zinakanushwa sana kwa mara ya kwanza ila baadae zinakuja kuonekana kweli.
Kama unashindwa tu kujua akiri sio sawa na akili utawezaje kujua mambo yanayohitaji akili kubwa kama haya???Katika akiri tu Ya kawaida, kwa kipindi hiki huwezi kwenda kwenye sehemu ya mikusanyiko mikubwa ukakuta hakuna alievaa mask ,kitu kingne sidhani kuwa kwenye kikao cha rais unaweza kuruhusiwa kuingia pasipo kuvaa mask.
Picha zinaonesha kuwa watu wote hawakuvaa mask, hiii maaana yake wote walikatazwa wasivae?na kwa nini walikatazwa wasivae mask? Ni Kwa faida ipi? Inamaaana watu hawa walipangwa na Kama walipangwa nikuwa kuna usaniii Mkubwa unafanyika tena usaniii ambao hujui kwa nini unafanyika, Mimi nashindwa hata kuelewa, why inafanyika hivyo? Nikwa ajiri ya kumfurahisha mtu Fulani Au nikwa ajiri ya kumkomoa mtu au ni kutaka kulazimisha kuwa hakuna tatizo? Ila kwa levo ya Yule kiutawala haya mambo hayastahili ayafanye bhana, haya huwa yanafanywa na watoto
Kufanya hivyo hata utakayoyaongea kwa watu wenye akiri wataona kuwa ni usaniii tu, maaaana Kama umefanya hivi kuwaambia watu waingie pasipo masks utashindwa nini kudanganya? Hiii imenifikirisha Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh . . .noma sanaUliangalia BBC? Kikeke alikuwa anamuhoji Baruani Mshale mkazi wa Njiro uliona alivyosema? Kama wewe mkazi wa njiro nenda kaulize kule kila siku ni misiba watu wanaondoka na korona.
Asee hapa tunazungumza mambo ya kitaifa, habari za vyama peleka huko mbali kabisaChadema kila kitu mnapinga
Iyo ni ujumbe kuwa Tanzania hakuna koronaMkuu Mimi sizungumziii aliyoyaongea nazungumzia zile Picha kuwa, ilikuwaje wakaenda wote pasipo mask? Nadhani hata wewe huenda unajiuliza hivyo Mkuu, Kama wameelekezwa hivyo maaana yake ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye akili . . ?Wenye akili tunaendelea kuchapa kazi huku tukichukua tahadhali.
Wajinga mnaendelea kuomboleza vifo vya corona vinavyotokea kwenye page ya kigogo 2014
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nalo neno.Je wagonjwa wamepungua sababu Corona imeisha au sababu tumesimamisha upimaji wiki ya tatu hii sasa??
So hile vifo elf 30 na elf 74 ni fake kabisaaa???Nasikia Wajeremani, Wangereza na Wamerekani wanaandamana kwa maelfu wakilaumu serikali zao zimekuza Sana korona kuliko uhalisia. Wanahashtag yao "Corona is Fake"
Maswali ni mengi jamaniHili nalo neno.
Achana na ujinga upate kuishi, fuata njia ya akili (Methali 9:6)
Sijui hizo takwimu zimekuwa referred wapi kama hizo mashine zipo kwenye uchunguzi. Kigezo gani kinatumika kujua huyu amepona na huyu bado.
Yule ndio mwambaHivi kwann Magufuli akiongea kitu nchi inasimama inamjadili yeye tu.
Yaan we kuandika kiswahili fasaha hujui,utaeweza kweli kujadili vitu vizito ?Katika akiri tu Ya kawaida, kwa kipindi hiki huwezi kwenda kwenye sehemu ya mikusanyiko mikubwa ukakuta hakuna alievaa mask ,kitu kingne sidhani kuwa kwenye kikao cha rais unaweza kuruhusiwa kuingia pasipo kuvaa mask.
Picha zinaonesha kuwa watu wote hawakuvaa mask, hiii maaana yake wote walikatazwa wasivae?na kwa nini walikatazwa wasivae mask? Ni Kwa faida ipi? Inamaaana watu hawa walipangwa na Kama walipangwa nikuwa kuna usaniii Mkubwa unafanyika tena usaniii ambao hujui kwa nini unafanyika, Mimi nashindwa hata kuelewa, why inafanyika hivyo? Nikwa ajiri ya kumfurahisha mtu Fulani Au nikwa ajiri ya kumkomoa mtu au ni kutaka kulazimisha kuwa hakuna tatizo? Ila kwa levo ya Yule kiutawala haya mambo hayastahili ayafanye bhana, haya huwa yanafanywa na watoto
Kufanya hivyo hata utakayoyaongea kwa watu wenye akiri wataona kuwa ni usaniii tu, maaaana Kama umefanya hivi kuwaambia watu waingie pasipo masks utashindwa nini kudanganya? Hiii imenifikirisha Sana
Sent using Jamii Forums mobile app