Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Mlisrma kakimbia anaogopa,haya huyo kajitokeza bado mnalalamika
 
Mimi ninachojua, si Kenya Wala Tanzania inayojitosheleza kwa chakula,na anaebisha atuambie sukari iko wapi?au atueleze Kama hizo tani zinazoshushwa bandarini zimetoka mtibwa Sugar
 
Yule anawakamata wajinga wenzie wasiojua kuchambua mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Africa tumeingizwa mkenge saana na hili Gonjwa, Corona ni kama flu imekuwa overrated sana kiasi kwamba mpaka africa tume take measures ambazo sio applicable kabisa kwetu ni kama vile hatuna experts wa afya wakushauri kwendana na mazingira yetu, Wazungu hata normal flu tu kwao ni msala sasa leo mwafrika umeona wapi analazwa kisa mafua ñi ajabu sana sasa ukiangalia sarakasi za marais wa afrika ndo utajua tuna safari ndefu mpaka tujitegemee kiuchumi na kiakili
Kuna vitu vinafanywa na majirani zangu ni upuuzi kabisa africa tunapaswa kuwa na organs zetu zinazodeal na aspects mbalimbali kama afya au uchumi Bàrani kote na zitoe ushauri mana kama wataalamu si tunasomesha nje? Leo unasikiliza waitaliano mdebwedo flu tu chali wanakufa unamua kufungia watu ndani wakati africa watu tunatembea tunaumwa sasa leo flu tu ufunge mipaka sijui ufungie watu ndani ni upuuzi mtupu hii corona tungeliangalia kwa mapana kuna the likely africa tungesonga mbele sana haswa kwa kupeleka raw materials abroad mana wazungu walisimama sasa tulivyowajinga na sisi tukasimamishwa pathetic
 
Kama unashindwa tu kujua akiri sio sawa na akili utawezaje kujua mambo yanayohitaji akili kubwa kama haya???
 
Je wagonjwa wamepungua sababu Corona imeisha au sababu tumesimamisha upimaji wiki ya tatu hii sasa??
Hili nalo neno.
Achana na ujinga upate kuishi, fuata njia ya akili (Methali 9:6)
Sijui hizo takwimu zimekuwa referred wapi kama hizo mashine zipo kwenye uchunguzi. Kigezo gani kinatumika kujua huyu amepona na huyu bado.
 
Utoaji huu wa ripot aliosoma Rais unaacha watu wapotoshe habari.


Kulikuwa na wagonjwa wangapi hadi wakabaki hao ili tuuone ukuu wa Mungu.

Lakini pia,kwa nini asitupe mrejesho wa maabara zetu. Hii tabia ya kuanzisha jambo na kuliacha tu sio sawa. Tunahitaji kurejeshewa imani ya maabara yetu.

Sent using iphone pro max
 
Hili nalo neno.
Achana na ujinga upate kuishi, fuata njia ya akili (Methali 9:6)
Sijui hizo takwimu zimekuwa referred wapi kama hizo mashine zipo kwenye uchunguzi. Kigezo gani kinatumika kujua huyu amepona na huyu bado.
Maswali ni mengi jamani
 
Hivi kwann Magufuli akiongea kitu nchi inasimama inamjadili yeye tu.
 
Kupitia huu ugonjwa kuna mataifa yataumia sana muda si mrefu, kutokana na pesa za mabeberu a.k.a mikopo ya kusaidia kupambana na covid-19.
 
Yaan we kuandika kiswahili fasaha hujui,utaeweza kweli kujadili vitu vizito ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisikiliza hotuba ya Mbowe; na kuilinganisha na ile ya kkkt; mzee wa tocha anaonekana kama kiongozi wa tlp.
 



President John Pombe Magufuli of Tanzania has hinted out another three-day fasting starting from next week after he recorded a victory with the first fasting that went down a few days ago.





Magufuli was speaking today during a church service where he rejoiced the power of God and his Son, Jesus Christ.

He urged Tanzanians that if the situations permit, they set aside three days, starting from next week Friday to Sunday, and offer thanksgiving prayer to the highest God for what he has done for Tanzanians during this COVID-19 pandemic that has plunged the whole world into fear and agony.


"Tunaenda vizuri na Mungu wetu yuko pamoja na sisi, kwa muelekeo huu, niwaawaomba ndugu zangu Watanzania, viongozi wa dini, kadri mambo inavyo enda, ikiezekana wiki ijao kuanzia Ijumaa, na Jumamosi, Jumapili, tukawe pia na siku za kumshukuru Mungu, tunaambiwa tushukuru kwa kila jambo, Mungu ametutendea makubwa, inafaa tushukuru ila," said Magufuli in a live video shared on YouTube by Millard Ayo, which loosely translates to:

(We are making great moves and our God is with us, on this note, I urge you my fellow Tanzanians, religious leaders, in the midst of this pandemic, if possible next week starting from Friday, Saturday and Sunday, we hold prayers and thank God for what he has done for us, we are asked to thank God for each and every situation we face, God has done great things for us, we need to thank Him.)






Magufuli noted that Tanzania is winning this COVID-19 war but asked Tanzanians to keep on paying heed to the measures.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…