Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Hiyo sana toa. Wanaopona ni wengi kuliko wagonjwa wapya na mwisho wa siku wataisha. Ninawashangaa watu kuikomalia Tanzania wakati si miongoni mwa nchi zenye maabukizi. Hata majirani zetu wa kaskazini mashariki wana maambukizi mengi zaidi. Afrika maambukizi mengi yako Afrika ya kusini, Afrika ya kaskazini na Aftika Magharibi. Sisi Afrika mashariki ikiwemo nchi yetu maambukizi ni kidogo sana. Lakini dunia nzima inapigia makelele nchi yetu utafikiri wana hasira fulani na sisi vile! Huwezi kuwasikia wakizungumzia nchi zenye maambukizi kwa maelfu!! Watukome!Sasa huoni kama katika vipimo vilivyofanya na nchi jirani kwa wagonjwa bado ugonjwa unaongezeka sana??
Mbowe kasemajeUkisikiliza hotuba ya Mbowe; na kuilinganisha na ile ya kkkt; mzee wa tocha anaonekana kama kiongozi wa tlp.
Na wamekopi na kupaste alichokisema Dr Magufuli hata kama hawaja-acknowledge dunia yote inajua hivyo.WHO wameshasema watu wajifunze kuishi na Corona maana haijulikani itaondoka lini na inaweza kuwa sawa na HIV isiondoke kamwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mimi nafanyaje,Tv yangu leo tangu asubuhi imegoma kuonyesha TBC ah tv yangu haina TBC ila leo sioni channel 10,*Tv,Itv.Naona Upendo na WRM tu.
Kuna uzi wake hapa ndani. Unaweza kusoma alichoongea leo.Mbowe kasemaje
Eh,kweli,Tz imekuwa bara la UlayaMagufuli akiongea dunia inasimama na kujadili hotuba yake
Kuna Nchi fulani zinataka kuleta mchezo hatutazihurumia
Kuna kazi gani inamsubiri huko ikulu?Tuna rais wa ajabu haijawahi kutokea. Kama corona imepungua kwa nini bado yeye yuko Chato amejificha. Arudi ofisini na yeye achape kazi.
Mask ni muhimu tu mahali ambapo haiwezekani kukaa mbali mbali!! Utaratibu kanisani siku hizi wameongeza idadi ya ibada ili watu wawe wachache kwenye ibada moja na watu wanakaa mbali mbali.Katika akiri tu Ya kawaida, kwa kipindi hiki huwezi kwenda kwenye sehemu ya mikusanyiko mikubwa ukakuta hakuna alievaa mask ,kitu kingne sidhani kuwa kwenye kikao cha rais unaweza kuruhusiwa kuingia pasipo kuvaa mask.
Picha zinaonesha kuwa watu wote hawakuvaa mask, hiii maaana yake wote walikatazwa wasivae?na kwa nini walikatazwa wasivae mask? Ni Kwa faida ipi? Inamaaana watu hawa walipangwa na Kama walipangwa nikuwa kuna usaniii Mkubwa unafanyika tena usaniii ambao hujui kwa nini unafanyika, Mimi nashindwa hata kuelewa, why inafanyika hivyo? Nikwa ajiri ya kumfurahisha mtu Fulani Au nikwa ajiri ya kumkomoa mtu au ni kutaka kulazimisha kuwa hakuna tatizo? Ila kwa levo ya Yule kiutawala haya mambo hayastahili ayafanye bhana, haya huwa yanafanywa na watoto
Kufanya hivyo hata utakayoyaongea kwa watu wenye akiri wataona kuwa ni usaniii tu, maaaana Kama umefanya hivi kuwaambia watu waingie pasipo masks utashindwa nini kudanganya? Hiii imenifikirisha Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa TanzaniaUkimsikiliza Mzee magufuli lazima umushukuru Mungu kutupa yeye anatupa ujasiri kwakweli,Mungu ambariki sana.
Hivi kwann Magufuli akiongea kitu nchi inasimama inamjadili yeye tu.
Haya majibu yalitokana na vipimo vya maabara ipi? ile ile iliyosema kuwa haitoi majibu sahihi? au kulikua na maabara nyingine tofauti na hii?Kwenye hospitali ya Agha Khani nako wamepungua wamebaki watu 31,
- Hindu Mandal wamebaki 16,
- Ragent Hospital wamebaki 17,
- TMJ wamebaki 7,
- Labinisia kule Tegeta wamebaki watu 14
Chakula gani ambacho Kenya inaipatia Tanzania?Mimi ninachojua, si Kenya Wala Tanzania inayojitosheleza kwa chakula,na anaebisha atuambie sukari iko wapi?au atueleze Kama hizo tani zinazoshushwa bandarini zimetoka mtibwa Sugar
Nikuulize je unafikiri walikaa umbali wa angalau mita moja kati ya mtu na mtu au chini ya mita moja kati ya mtu na mtu?Mkuu Mimi sizungumziii aliyoyaongea nazungumzia zile Picha kuwa, ilikuwaje wakaenda wote pasipo mask? Nadhani hata wewe huenda unajiuliza hivyo Mkuu, Kama wameelekezwa hivyo maaana yake ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app