Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Mimi naona bado mapema kwa shule kufunguliw
Ni kweli,, lakini uonavyo wewe kwa haya kuna dalili ya ugonjwa kuisha?.,kwa Jitihafa gani 90% ya shughulikia zimerudi kuwa normal BAADA ya hotuba ile ... corona tutakaa mayo sana Hawezi kuishi mwaka huu wala mwakani,,,TUJIFUNZE KUISHI NAYO LIKE ,TB ,HIV,,MALARIA ,na Meningine
 
Msigwa kule Twitter anadai kuna salamu zetu toka kwa mkuu..kuanzia saa 6:15 mchana huu.. Mida ndio hii..
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Anatufanyizia Kazi Ndugu Zangu
 
Back
Top Bottom