Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kutuma salaam kwa Taifa leo Mei 17, 2020.

Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito.

Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao.

Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara.

JF will cover it

======

‪RAIS AMETOA SALAAM BAADA YA KUSHIRIKI KATIKA IBADA YA KANISA LA KKKT USHARIKA WA CHATO‬

Vipi Kanisa limepandishwa cheo na kuwa ikulu?
 
Anasema wagonjwa wamepungua mahospitalini. Amana wapo 12, Mloganzila 6, Lulanzi 22, Aga Khan 30,Mandar 16 nk

Rais anasahau wale waliopo majumbani ambao mwenyewe alishauri ambao hawako vibaya warudi majumbani.

Hapo naona dalili za shule kufunguliwa. Rais anasema Mungu amejibu maombi yetu hali ni shwari
 
Kwa kawaida hua sifuatilii hotuba ya kiongozi yeyote. Now usemi unasema 'Kawaida ni kama sheria' so nahisi tutakutana baadaye mkiwa mnachambua alichokisema.
 
Kasemaje, Mabeberu wanainyemelea nchi yetu kisiri siri kwa kutumia COVID-19
 
Ni mategemeo yangu kuwa hotuba ya Leo itaisimamisha dunia baada ya kueleza ukweli kuwa corona ya tz imeletwa na wapinzani
 
Magufuli anasisitiza tuendelee kuchukua tahadhali na kumuomba Mungu. Kama wiki ya kesho itaendelea hivi amepanga kufungua vyuo ili masomo yaendelee. Michezo iendelee

Booking za ndege zimejaa mpaka agasti, watu wanataka kuja Tz, hakuna karantini.

Daaah, jamani hii inakuwaje? ila kweli hali ipo hivi
 
Anasema wagonjwa wamepungua mahospitalini. Amana wapo 12, Mloganzila 6, Lulanzi 22, Aga Khan 30,Mandar 16 nk

Rais anasahau wale waliopo majumbani ambao mwenyewe alishauri ambao hawako vibaya warudi majumbani.

Hapo naona dalili za shule kufunguliwa. Rais anasema Mungu amejibu maombi yetu hali ni shwari
Sasa waliopo majumbani ulitaka rekodi yao iwekwe wapi wakati hawakwenda hispital,?

Hao maana yake ni hawaumwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom