Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kutuma salaam kwa Taifa leo Mei 17, 2020.
Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito.
Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao.
Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara.
JF will cover it
======
RAIS AMETOA SALAAM BAADA YA KUSHIRIKI KATIKA IBADA YA KANISA LA KKKT USHARIKA WA CHATO
Hahaaa huyu, Mzee shidaa kweli"Kana kwamba corona inatembea usiku tu" hili ni la Bw Uhuru.
Ni mungu wako yuleupo too negative kama jiwe. Mbowe kaingiaje hapa?
Anaongea haraka haraka mkuu subili marudioLeteni updates wakuu..
Sasa waliopo majumbani ulitaka rekodi yao iwekwe wapi wakati hawakwenda hispital,?Anasema wagonjwa wamepungua mahospitalini. Amana wapo 12, Mloganzila 6, Lulanzi 22, Aga Khan 30,Mandar 16 nk
Rais anasahau wale waliopo majumbani ambao mwenyewe alishauri ambao hawako vibaya warudi majumbani.
Hapo naona dalili za shule kufunguliwa. Rais anasema Mungu amejibu maombi yetu hali ni shwari
Nadhani tumeshasikiawanafunzi tunasubir apo