Hata Sina kinyongo
Senior Member
- May 16, 2020
- 118
- 280
Hata Sina kinyongo...Jumatatu nenda shule
Research ya kienyeji sana uliyoifanya. Hao milioni 60 ni pamoja na mbuzi wa kijijini kwenu?Wewe usipomwombea hakipungui kitu! Kuna mamilioni ya watanzania takriban milioni sitini tunamwombea na tutazidi kumwombea!! Mungu wetu amejibu maombi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusi litaondoa corona?
Magufuli sasa hivi akiongea hotuba zake zinasambaa mpaka Ulaya na Amerika inakuwa ni gumzo. Dunia nzima inatamani kusikia hotuba zake nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu walio wahanga wa malezi mabovu utawajua tu!! Hakuna haja ya kumlaumu mhanga wa malezi ya hovyo, sana sana ni kumpa pole!!!Research ya kienyeji sana uliyoifanya. Hao milioni 60 ni pamoja na mbuzi wa kijijini kwenu?
Mbona mnatuchanganya wakuu. Magufuli atahutubia taifa au ndiyo kashahutubia kanisani?