Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Kwa hali ilivyo na kwa UNYENYEKEVU MKUBWA napenda kuwasilisha ombi hilo kwako.


Ukiwa Amri Jeshi Mkuu naomba japo kwa siku 30 funga mipaka na zuia maroli kuingia nchini mwetu kwa muktadha wa tujitathimini na janga hilo baya la Corona.


Ama la angalau basi ktk mipaka yote elekeza mizigo yote ipakuliwe Mpakani na si vinginevyo!


Nawasilisha.
 
Kajifunze kuandika kwanza, halafu uje utoe ushauri. Kwa haya mataputapu ndo ushauri gani? Takataka kabisa
 
Ameshasema hafungi mipaka uyo mama yetu wa Kilimanjaro aanze kupaki nguo zake mapema
 
[emoji28]ana watoto wangapi uyu mwamba ..isije kua ventilator zote zime hamishiwa chato

Dark Side
 
Habari wana JF,
Tumemsikia muheshimiwa Raisi akiruhusu ujio wa wa watalii ambao wataenda, pamoja na sehemu nyingine, kuangalia wanyamapori wetu. Je hawa wanyamapori hawawezi kuambukizwa covid 19, ni taadhari gani zitachukuliwa ili huu urithi wa dunia uendelee kubakia?
 
Wale wanakula vitu natural, hivyo corona itayeyushwa juu kwa juu, halafu wanafanya sana mazoezi ya kukimbia kila siku
 
Shule zifunguliwe tu inawezekana mkifundishwa shuleni na mkaletewa kwenye mitihani mtaelewa madhara ya muda mrefu yatakayotokana na kufunga mipaka.
 
Back
Top Bottom