Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Coronavirus imekuwepo kwa wanyama miaka nenda rudi na huwa haina madhara, hata hii korona waliyoitengeneza maabara ili iwe na uwezo wa kuambukiza binadamu wameitoa kwa mifugo. Upo sahihi kuonyesha wasiwasi kwamba hii korona ya kutengeneza inaweza ikawa na madhara kwa wanyama pia, hivyo tahadhari ni muhimu...
 
Kama aliweza kuzusha jiwe kadanja ili kuwapagwisha watu je anashindwa kuzusha kuhusu corona ili kupagawisha watu?
 
Mtoto wa rais ni tofauti na mtoto wa mkulima, muuza vitumbua, muuza mitumba, mfugaji, mvuvi, kondakta, machinga, fundi uchundo, Mwalimu. Mtoto wa rais anayo access za tiba zote Tanzania na nje ya nchi.
 
Simpeleki mwanangu shule hiyo wiki ijayo yenu, mmejaza dawa ya madagasca manyumbani kwenu alafu mnatudanganya ili mkauwe watoto wetu

baba hujalazimishwa! since tuanze karne hii ya 21, hakuna mda wa kupoteza, competition ni kubwa, ajira ni ngumu, biashara ndo uspime. sasa wewe wala usimpeleke kaa nae ivo ivo
 
Ni dhambi mbele za Mungu kutokumuamini kiongozi wako kiasi hicho. Alikutenda nini?? Mbona tulimuamini Mh Mbowe aliposema mwanaye kila akipimwa bado anao??

..aliwahi kudanganya kwamba vichwa vya treni alivyovikuta bandarini vilikuwa havina mwenyewe.

..pia alidanganya mbele ya viongozi kwa kutuhumu viongozi wa upinzani kuwa wanataka kumuua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…