Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Hivi Tanzania Ni Ya Ngapi Kiuchumi kwa Nchi za Afrika Mashariki? Maana Tunajitapa As If Sisi Ndio Madon Wa Ukanda huu
 
Adanganye ili iweje? Msiwe na hisia hasi kwenye kila jambo.
 
Most likely hapakuwa na kitu hicho. Ni kuhalalisha anayoyafanya kuhusu corona, kuzipa uzito sentensi zake za mitishamba na kuwa siyo kuwa anawasukumia wengine bali na yeye ndizo anazotumia.
Yawezekana, ila pia namlaumu kwanini hakutangaza mapema anasubiri mpaka mtoto apone ndio atangaze? Angefariki manake angesema alikufa kwa presha.
 
Huyu bwana ana agenda ya siri na anaicheza kwenye uhai wa Raia 41m. Hii ni zaidi ya siri na muda ndio utakao jibu nakuifumbuwa siri hii.

Taifa lipo vipande viwili wanao mwamini mtemi kwamba zile risasi wakipigwa zitageuka maji na kamwe hazito wadhuru. Kwa bahati mbaya wanao amini wanaenda vitani wanauwawa na hawarudi kumwambia Kinjekitile yule mganga wake ni fake. Wengi wakafa na mwishowe na yeye akauwawa.

Miaka imepita sasa tumempata kinjekitile wa dunia yakisasa amesema jifukizen chapa kazi. Well kwa njaa zetu tunachapa kazi ila kati yetu wengi watapotea nambaya hawato toa majibu ya kweli. Itakuwa ni hatari juu ya hatari.
 
Mkuu,hongera sana,unazidi kuongoka.
Haya tuambie alipo Ben 2 O Clock

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Most likely hapakuwa na kitu hicho. Ni kuhalalisha anayoyafanya kuhusu corona, kuzipa uzito sentensi zake za mitishamba na kuwa siyo kuwa anawasukumia wengine bali na yeye ndizo anazotumia.
Wenye akili wote waling'amua pale pale

Ila wanaccm ni balaa ! unaongopa mazabauni !
 
Mabeberu soma hiyooooo👏👏👏👏👏👏
Baba Jeska kanifurahisha sana kutumia scriptures. Kwamba kuna mkoma aliambiwa tu ende mtoni na akatakasika. 👍👍

Mengine nawaachia wanasiasa
 
Back
Top Bottom