Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Mungu akubariki na akulinde sana Raisi Wetu hakika una hekima ya kipekee👏.
 
Inaezekana akadanganya kanisani kweli? Mimi naamini alivyosema ni kweli maana kiongozi wetu ameshika sana dini
 
Nasikia Wajeremani, Wangereza na Wamerekani wanaandamana kwa maelfu wakilaumu serikali zao zimekuza Sana korona kuliko uhalisia. Wanahashtag yao "Corona is Fake"
Waonaje ukitafuta uthibitisho kwanza?
 
Most likely hapakuwa na kitu hicho. Ni kuhalalisha anayoyafanya kuhusu corona, kuzipa uzito sentensi zake za mitishamba na kuwa siyo kuwa anawasukumia wengine bali na yeye ndizo anazotumia.
Wewe una akili kama mimi. Niligundua hilo mapema sana. Hana aibu anadanganya mbele ya madhabahu kanisani..so sad!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Most likely hapakuwa na kitu hicho. Ni kuhalalisha anayoyafanya kuhusu corona, kuzipa uzito sentensi zake za mitishamba na kuwa siyo kuwa anawasukumia wengine bali na yeye ndizo anazotumia.
KWANI MWANAFAMILIA MSIGWA ANASEMAJE? Maana yeye ndio akiniambia kuwa sio kweli nitaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…