simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Sielewi kuhutubia taifa lazima uwe rais? Nadhani muhimu ni idadi ya wasikilazaji. Mfano A ameongea amesikilizwa na watanzania 10. B amenguruma amesikizwa kwa makini na watanzania 20. B atakuwa ametimiza kwa ufanisi zaidi azma yake ya kuhutubia watanzania.Hivi Mbowe nawe mbona anasemaga "anahutubia taifa"? Kwani nayeye rais
Mungu ni mwemaMagufuli anasisitiza tuendelee kuchukua tahadhali na kumuomba Mungu. Kama wiki ya kesho itaendelea hivi amepanga kufungua vyuo ili masomo yaendelee. Michezo iendelee
Booking za ndege zimejaa mpaka agasti,watu wanataka kuja Tz,hakuna karantini
mimi hapa nimeshtuka. eti watalii waingie?Mbona huyu mzee anaongea mambo ya ajabu
anakwambia watalii waje na hamna kuwekwa karantini duuh
Sent using Jamii Forums mobile app
kabixaa mkuuNadhani tumeshasikia
Lifurahie sasa hivi ila..sasa wanafunzi tungeanza kusign boom tu mheshimiwa kuwahi mudaa
Hahaaasasa wanafunzi tungeanza kusign boom tu mheshimiwa kuwahi mudaa
Mtalii gani yupo tiyari ku risk maisha yake in Dark country, aache kudanganya watu, labda afungue vyuo maana hilo lipo ndani ya uwezo wake lakini siyo kuleta watalii kipindi hikiMagufuli anasisitiza tuendelee kuchukua tahadhali na kumuomba Mungu. Kama wiki ya kesho itaendelea hivi amepanga kufungua vyuo ili masomo yaendelee. Michezo iendelee
Booking za ndege zimejaa mpaka agasti,watu wanataka kuja Tz,hakuna karantini.
Daaah,jamani hii inakuwaje?ila kweli hali ipo hivi
Wanakataa nini mkuu?duh jamaa anapigiwa makofi kama yote kwenye hilo kanisa ila nimekaa na wadogo zangu hapa wanakataa kukubaliana na ukweli.