Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Muhimu matendo sio kusali ili watu wakuone unasali kila siku au kila siku ya ibada
 
Nikisikiliza kutoka Chato namuona mhe Magufuli akiwa imara zaidi.
Juzi nilitoa mada yenye kichwa chake "CORONA:SHULE VYUO VINAWEZA KUFUNGULIWA" ingawa mod wameunganisha na uzi mwingine... leo namsikia Mhe Magufuli akishindilia hoja kwamba soon ataruhusu shule na vyuo vifunguliwe [emoji1319][emoji1319][emoji1319]
Tusitishane...wale wa kupingapinga endeleeni sisi tunachapa kazi.
Kumbuka Mungu ndiye mlinzi wa maisha yako
 
Back
Top Bottom