Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Nilitegemea hiliAmesisitiza kazi lazima zifanywe, hakuna lockdown wala shangazi yake na lockdown.
Anasema tunawasubiri majirani zetu mwakani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitegemea hiliAmesisitiza kazi lazima zifanywe, hakuna lockdown wala shangazi yake na lockdown.
Anasema tunawasubiri majirani zetu mwakani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa.Kwani kuna shida mkuu? Wengi tunapata updates kupitia huu uzi.. binafsi siko karibu na TV wala redio.
Unataka kumwambia nini ?Hii hotuba ya Magu imenitoa chozi,!
Wakuu naomba mwenye namba ya rais.
Sent using Jamii Forums mobile app
LETE UKWELIHuu uwongo wa Chadema haikubaliki
SafiiAmesisitiza kazi lazima zifanywe, hakuna lockdown wala shangazi yake na lockdown.
Anasema tunawasubiri majirani zetu mwakani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Awatokee wewe na nani,mbona unaongelea nafsi za wengine,chuki zako hazitafua dafu mbele ya JPMHana lolote atutokee hapa
Mbona sioni official statement toka kwenye vyanzo husika..hii habari umetoa wapi mkuu?