Seleman Mrisho
Member
- Dec 14, 2019
- 47
- 33
Ukimsikiliza Mzee magufuli lazima umushukuru Mungu kutupa yeye anatupa ujasiri kwakweli,Mungu ambariki sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usishawishike hata siku moja kumuamini huyu mzee,hana ukweli hata mmoja.Nini kinatufanya tujuwe wagonjwa wameongezeka au kupungua? Nani anajua maambukizi yamepungua au kuongezeka Kama hakuna kupima?
Bado kidogo atapinga dawa zote
Acha uboya basiMagufuli mwamba wa Africa
"hili ni taifa huru! Linajiamulia mambo yake lenyewe, lilishapambana na majanga mengi likashinda.Huyu mzee tumsamehe tu. Huenda hayuko sawa kichwani. In fact hayupo sawa kichwani!
Hiyo haiwezzi kuwa sababu kwasababu yeye anapingana na maelekezo yote ya kitaalamuNimemsikia Rais akisema kuwa mwanae ilipata Corona hii inaweza kuwa sababu aliamua ajitenge ili kuepuka maambukizi ya Corona, kwa maoni yangu Rais alifanya jambo jema kama Kiongozi wa kitaifa na kuamua kufanya kazi kutoka Kijijini kwake Chato
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona hamna kitu Italia ndege zinaruhusiwa kuingia na kutoka kuanzia mwezi ujaoBado kidogo atapinga dawa zote
Anaanza kujipendekeza si unajua kura kesho kutwa ?usishangae akaanza ziara mikoa ya kaskazini na misaada teleHahahaha hata mi nimeshangaa aiceee kuna kitu!
Si mlisema hamtaki kujua rais yupo wapiKweli haina maana kufunga shule na vyuo wakati shughuli zingine zinaendelea kama kawaida.
Na yeye atoke arudi ikulu kufanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu azidi kumlinda Rais JPM..
Hakika ni chaguo la Mungu
Leo naamini nikiwa kama Mkristu niliye na Imani tele maishani mwangu.. naamini wengi watakuwa wameondoa hofu kwa kumsikiliza.. kweli angekuwa Mchungaji tu.. ana upako..
Kama alivyosema.. endeleeni kuchukua tahadhari na kusali.. msiruhusu hofu iwaingie..
Magufuli oyeeeeeeeee
Kama umesikiliza hotuba yote nadhani umeshamuelewa hata hilo la wakubwa wenzieKwenye corona mi nipo na jiwe bega kwa bega
Ila aache kukwepa mikutano na wakubwa wenzie
Azungumze hata kinyantuzu