Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Inaambukiza pia kupitia mate mate yanayotoka mdomo ni. Usipokuwa na barakoa mate yanaweza kutuma na kutua ukutani, juu ya meza, kwenye kutasa ni. Anaeyashika mate haya ni rahisi kupata maambukizi.
 
Reactions: BAK
Hao wanafunzi watavaa barakoa? Wataweka distance? Wasipofanya hivyo ina maana gani kuwaambia wananchi wachukue tahadhari?
 
Wanaamini Covid-19 imekwisha kwa jina la Yesu,Barakoa za nini sasa!
 
Rais Magufuli ametangaza kufungua vyuo, Michezo na kidato cha sita kuanza masomo Juni 1, 2020, amesema pia mikusanyiko hiyo itasaidia kupata 'herd immunity'.

Nini maoni yenu?....
Maoni ya nini na mtu aliyechaguliwa na watu milioni nane kasema ...
 
Kwa wanafunzi (wengi wao ni vijana wa chini ya miaka 25), nafikiri hapana shida sana. Kwenye michezo, wangeanza bila watazamaji kwanza na kuangalia hali inavyokwenda.
 
Rais anaogopa corona ila anataka kutoa raia kafara. Hawezi kuvaa barakoa kwasababu atadhihirisha unafki wake.
 
Ayubu:20:12 -:Ingawa uovu unatamu kinywani mwake,ingawa auficja chini ya ulimi wake.
 
Hivi rais anavyosema hali ni shwari sasa hivi, ni lini alisema hali ni tete? Ni takwimu zipi anazolinganisha hali shwari na tete?
 
Yeye hayupo katika misongamano asipovaa ni sawa, sasa na mimi wa mbagala nisivae eti kwa sababu yeye hajavaa.Kweli?

Na sisi huwa tunamuona kwenye runinga tu tunajuaje kuwa huwa havai kabisa.
 
Hahahaa hahahaaaaa Magu kawachimba beat hakuna kuvaa barakoa. Haki ya Mungu huyu mzee ana shida sana!
Barakoa zina short and long term effects ujue. KKama si lazima sana is better kutokuvaa.
 
Akili za mbayuwayu............!!! Mimi nitaendelea tu kuvaa pale nitakapo ona inafaa! Tusipangiane maisha! Sawa Mh. Rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…