Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Inaambukiza pia kupitia mate mate yanayotoka mdomo ni. Usipokuwa na barakoa mate yanaweza kutuma na kutua ukutani, juu ya meza, kwenye kutasa ni. Anaeyashika mate haya ni rahisi kupata maambukizi.COVID haimbukizwi kwa kupitia kinywani tu hata ukivuta oxygen kama kuna mtu aliyenayo karibu yako unaweza kabisa kuipata. Kumbuka kuna wengi wanayo lakini ni ASYMPTOM na ukiwa jirani na mtu aliyenayo huku wewe umevaa 😷 unapunguza percentage ya kuambukizwa toka 100% hadi 4% that’s HUGE. Please protect yourself and your loved ones.