Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
assume una binti yako kwa mazingira haya kshika mimba.hasara iliojeee
Wise words...COVID haimbukizwi kwa kupitia kinywani tu hata ukivuta oxygen kama kuna mtu aliyenayo karibu yako unaweza kabisa kuipata. Kumbuka kuna wengi wanayo lakini ni ASYMPTOM na ukiwa jirani na mtu aliyenayo huku wewe umevaa 😷 unapunguza percentage ya kuambukizwa toka 100% hadi 4% that’s HUGE. Please protect yourself and your loved ones.
mheshimiwa anaitamka "rokodawuni."😅😅😅😅Team lockdown chali daah walivyokua na povu na takwimu zao za marekani,china,Italy
Unaogopa vitu visivyo na maanaNimeogopa hapa nimemwona mkuu wa majeshi akiweka mikono usoni.Kagusa pua mdomo. Halafu li Kabudi linajisifu kutokuvaa Barakoa. Kumbe hawavai Barakoa kisa Boss wao kasema ?I thought ni kutoka mioyoni mwao.
🤣 🤣 🤣 yani nyungu ndiyo kinga ya korona?
Mwanangu haendiVyuo vinafunguliwa.. subirini tu.
Chadema ni fungu la kukosa,!Team lockdown chali daah walivyokua na povu na takwimu zao za marekani,china,Italy
sio mamako mkuu??.Kwanza hiyo ya kufungua vyuo kwanza alafu msingi na sekondari zisubiri hali inavyoendelea, kawapiga dole la kati machadema
Sent using Jamii Forums mobile app
wazazi mungu awatie moyo kwa kwel
Maana yake Ni kuwa Herdy immunity imeanza kuwa achievedDuuh hamna aliyeváa Barakoa hata mmoja. Hii ni hatari sana aisee
Da Ummy atasoma ripoti ya ze maabara leo
Mie nikiivaa napata mafua...NimeshindwaKama kwenye public ambapo hakutakuwa na umbali kati ya watu,au nitalazimika kuongea na mtu hapo yes. Ila kama sehemu nitakeep distance mimi sivai. Binafsi nikivaa Barakoa kila nikihema ile hewa inakuwa vapor inaweka ukungu kwenye miwani yangu.
Na mimi bila miwani sioni vizuri. Kusema ukweli navaa Barakoa kwenye misongamano tu.
Mwamba wa africa!
Kwa Tanzania kwa vile Jiwe ndiyo WHO yenu mko sawa kabisa. Endeleeni na huo UJIMA wenuUelewe! Barakoa hutumika sehemu ambazo hakuna uwezekano wa kukaa mbali mbali kiasi cha angalau mita moja kati ya mtu na mtu kama vile kwenye vyombo vya usafiri wa umma.
Mwanangu haendi
Mimi nijuavyo, kama umekaa na mwenye corona,hamuongei,yeye na wewe mnavuta hewa na kutoa kupitia pua uwezekano wa kukuambukiza ni mdogo.COVID haimbukizwi kwa kupitia kinywani tu hata ukivuta oxygen kama kuna mtu aliyenayo karibu yako unaweza kabisa kuipata. Kumbuka kuna wengi wanayo lakini ni ASYMPTOM na ukiwa jirani na mtu aliyenayo huku wewe umevaa 😷 unapunguza percentage ya kuambukizwa toka 100% hadi 4% that’s HUGE. Please protect yourself and your loved ones.
Ndio maana unaambiwa wale ni watu wazima wanajua kujisimamia, sasa kama mtu yuko chuo bado anataka mwongozo wa mtu inafaa afukuzwe hata hapo chuoni.Hao wanafunzi watavaa barakoa? Wataweka distance? Wasipofanya hivyo ina maana gani kuwaambia wananchi wachukue tahadhari?