Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

COVID haimbukizwi kwa kupitia kinywani tu hata ukivuta oxygen kama kuna mtu aliyenayo karibu yako unaweza kabisa kuipata. Kumbuka kuna wengi wanayo lakini ni ASYMPTOM na ukiwa jirani na mtu aliyenayo huku wewe umevaa 😷 unapunguza percentage ya kuambukizwa toka 100% hadi 4% that’s HUGE. Please protect yourself and your loved ones.
Wise words...
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nimeogopa hapa nimemwona mkuu wa majeshi akiweka mikono usoni.Kagusa pua mdomo. Halafu li Kabudi linajisifu kutokuvaa Barakoa. Kumbe hawavai Barakoa kisa Boss wao kasema ?I thought ni kutoka mioyoni mwao.
Unaogopa vitu visivyo na maana

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Kama kwenye public ambapo hakutakuwa na umbali kati ya watu,au nitalazimika kuongea na mtu hapo yes. Ila kama sehemu nitakeep distance mimi sivai. Binafsi nikivaa Barakoa kila nikihema ile hewa inakuwa vapor inaweka ukungu kwenye miwani yangu.

Na mimi bila miwani sioni vizuri. Kusema ukweli navaa Barakoa kwenye misongamano tu.
Mie nikiivaa napata mafua...Nimeshindwa
 
COVID haimbukizwi kwa kupitia kinywani tu hata ukivuta oxygen kama kuna mtu aliyenayo karibu yako unaweza kabisa kuipata. Kumbuka kuna wengi wanayo lakini ni ASYMPTOM na ukiwa jirani na mtu aliyenayo huku wewe umevaa 😷 unapunguza percentage ya kuambukizwa toka 100% hadi 4% that’s HUGE. Please protect yourself and your loved ones.
Mimi nijuavyo, kama umekaa na mwenye corona,hamuongei,yeye na wewe mnavuta hewa na kutoa kupitia pua uwezekano wa kukuambukiza ni mdogo.

Lakini muwe mnapiga story, mfano m acheza draft au karata mnaongea na kucheka. Hapo maambukizi lazima,maana unapoongea unatoa vapour ambazo zinakua na tinny droplets in aerosol form, na virus wanabaki hewan kwa dakika Kama 15 hivi.

Hapo maana yake Kuna uwezekano maambukizi yamekuwa ya kutosha kuachieve immunity.
 
Back
Top Bottom