Nimeogopa hapa nimemwona mkuu wa majeshi akiweka mikono usoni.Kagusa pua mdomo. Halafu li Kabudi linajisifu kutokuvaa Barakoa. Kumbe hawavai Barakoa kisa Boss wao kasema ?I thought ni kutoka mioyoni mwao.Hakuna kitu kama hicho
Mambo ya ndani kapewa nani maana nimesikia tu Simbachawene kawa balozi wa Kenya.Dah!..watu wanakula teuzi na vyeo, hayo ndio maisha Sasa.
Nikikueleza si unabisha? Hayo ni maagizo wote wamepewa ili kuhalalisha usanii waoNimeogopa hapa nimemwona mkuu wa majeshi akiweka mikono usoni.Kagusa pua mdomo. Halafu li Kabudi linajisifu kutokuvaa Barakoa. Kumbe hawavai Barakoa kisa Boss wao kasema ?I thought ni kutoka mioyoni mwao.
Nimeogopa hapa nimemwona mkuu wa majeshi akiweka mikono usoni.Kagusa pua mdomo. Halafu li Kabudi linajisifu kutokuvaa Barakoa. Kumbe hawavai Barakoa kisa Boss wao kasema ?I thought ni kutoka mioyoni mwao.
Unamjua lakini?!!!Hivi kigezo cha kumpeleka balozi wa Kenya sio jina lake kweli!? .... just thinking aloud!
π π π π€‘
Huyo ndio kamfikisha George hapo alipo......naomba niishie hapo!LETA HABARI!