Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ameshawaapisha
Wachape Kazi

Uchumi Wa Kati
 
Nimeogopa hapa nimemwona mkuu wa majeshi akiweka mikono usoni.Kagusa pua mdomo. Halafu li Kabudi linajisifu kutokuvaa Barakoa. Kumbe hawavai Barakoa kisa Boss wao kasema ?I thought ni kutoka mioyoni mwao.
Nikikueleza si unabisha? Hayo ni maagizo wote wamepewa ili kuhalalisha usanii wao
 
CCM ya leo ni kutengua na kuteua...

Wananchi wameshakoka kabisa na hii habari!!
 
There you have it Victoire PROTECT yourself.

Nimeogopa hapa nimemwona mkuu wa majeshi akiweka mikono usoni.Kagusa pua mdomo. Halafu li Kabudi linajisifu kutokuvaa Barakoa. Kumbe hawavai Barakoa kisa Boss wao kasema ?I thought ni kutoka mioyoni mwao.
 
"Tulikuwa tumeandaa uwanja wa 77 kwa ajili ya wagonjwa wa corona na vitanda ila tumevirudisha na kuurudisha uwanja" waziri Ummy

Mmmmmhhhh
 
Ngoja tuone mtu anavyochambwa.
tapatalk_1589436358948.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom