Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Ufipa wamenuna. Wananchi tumeondoa hofu tuchape kazi
 
Apa ndo ikulu sa. kule kwingine ni sawa na kichakani

Dark Side
 
Jafo anakwambia tar 24 hadi 31 ni nyungu season 2.
 
Mzee ameweka mambo clear hataki tena kusikia misaada ya corona. Kwamba wanaweza kutuletea barakoa zenye corona.. kama msaada unakuja basi upitie wizara ya afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…