Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Nilisema jana. Kaona aibu kumuapishia Mollel pale J's Hotel. Ngonja tusikie vijembe vya leo.


Na ulivyokuwa famous, Dunia nzima inakumbuka na iliona ulichosema jana, hadi Raisi wa nchi kaona aibu, kweli Mchaga wewe kiboko.
 
Nzuri hiyo na ligi nayo inanza

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Mambo yaendele kama kawaida nzuri hiyo

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Wote wako under terror!under tension! Nyuso za woga dhahiri. Nyuso kama hizi tulikuwa tunaziona wakati wa IDD Amin anaongea namawaziri wake! Hapo alipo akisema kilammoja "ambusu" mwenzake watafanya huku wakijua wazi kuna hatari ya kufanya hivyo due to corona!
Hahahahha. Nilikuambia mimi safari hii lazima pichu uvae kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuchape Kazi. Social media hazitatuletea maendeleo
 
Back
Top Bottom