Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Taarifa njema hii kwa wanafunzi wote wa chuo hasa akina atieno
 
Haya vijana kumekucha
100092896_855792244921842_395431475359559344_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanapenda kuvaa, wanaigilizia boss wao anataka nini? To sure hata kama uko distance inayotakwa, bado masks ni muhimu so as not to take chance!
Angevaa mngesema anasema corona hakuna wakati wanavaa barokoa, hawajaa pia mnasema wangevaa so naona sio rahisi kumridhisha kila mmoja hasa kwenye uwanja wa siasa.

Sent using kidole gumba
 
"Kwa shule zingine za sekondari na msingi, tujipe muda kidogo tuangalie hii phase ya vyuo, kwa sababu wao ni watu wazima wanaojitambua tofauti na mtoto wa darasa la kwanza. Tutaona trend [hali] inavyokwenda."- Rais wa Tanzania, Dkt
@MagufuliJP
 
Mimi nilishauri kwamba watoto wote wa kike watakaporudi shule wapimwe mimba kujua ni wangapi ni wajawazito, nina imani kubwa kwamba kuna bahadhi ya mabinti watakuwa ni wajawazito
 
Back
Top Bottom