Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Nakushangaa sana kama hili ndyo umeliona leoNa kinachonishangaza huyu huyu ambaye akiwatumbua Mawaziri wake huwa anatumia muda mwingi Kuwakosoa na Kutuaminisha Makosa ( Mapungufu ) yao hasa ya Kiutendaji ndiyo Yeye hata wakati Siku akiwaapisha aliwasifia sana na kutuaminisha mno Watanzania kuwa ameteua Watu very Competent katika hizo dockets zake.
Naanza sasa kupata wasiwasi kuwa huenda Yeye ndiye akawa tatizo na siyo hao Wateule wake. Kuna tatizo mahala na naungana nawe Mheshimiwa Mbunge katika hili uliloligusia hapa.
Kama serikali ni hii hii basi na mwili ni huohuo tumia mdomo kunya sasa..... unataka waziri wa mazingira akemee matukio hayo wakati waziri wa ulinzi yupo, waziri wa mambo ya ndani yupo, waziri wa utawala bora yupo..... kama unafikiri kuwa serikali/mwili ni moja ndio kigezo cha kila waziri/kiungo kutumika sasa tembelea kichwa....Sisi ni watanzania tupo chini ya wizara zote kwa kifupi tupo chini ya serikali hii
Unamaana gani kusema alikuwa anaelezea tu.Makamba kaona aibu kwenda Ikulu. The traitor. January shame on you. Halafu Zitto kwani JPM kasema hizo ndo sababu? Alikuwa anaelezea tu madudu yaliyopo kwenye wizara ya mazingira.
Nini kinakuwasha?
Ninachoamini kutoka moyoni mwangu kabisa, our beloved country would be much much better with January being the president than we are now.mi mwenyewe nipo against sana na maCCM ila kwa January HAPANA.
Zito! sometimes unazingua babu! waache wachomane wao kwa wao!
Kwa uongozi wa sasa, vifulambute wengi sana wangeweza kuendesha nchi vizuri kuliko haya mazingaombwe tunayoona.Ninachoamini kutoka moyoni mwangu kabisa, our beloved country would be much much better with January being the president than we are now.
Mkuu hii inaitwa Chama Cha Wachochea Kuni Tanzania (CHAWAKUTA)Zito! sometimes unazingua babu! waache wachomane wao kwa wao!
Itawezekana asipochukua uraia huko ughaibuni!Tundu Lissu anachukua nchi 2020 hamtakaa muamini hili,ila ndio hivo linalokwenda kutimia.
Tafadhali sana ndugu zito,
Usije ukamshauri bwana January kujiunga na upinzani.
Tunataka abakie huko huko ccm.
Januari usije ukaenda chama chochote ch upinzani.
Usije ukathubutu.
Baki hapo hapo.
Chezeni karata zenu vizuri.
Hayo ni mawazo yangu wewe mpumbavu, toa mawazo yakoUnapomshauri mtu ujinga lazima uambiwe.
Utumbo na weweWewe ndiye utumbo